Umepewa mimba na mwanaume umemuambia kama una mimba yake labda kakubali au kakataa, sasa umejifungua na una mtoto, tena umemuandika na jina la baba yake kwenye cheti cha kuzaliwa, lakini umemfuata...
Habari zenyu wana Jf na mmu kwa ujumla.
Rejea kichwa cha thread hapo juu,niende tu moja kwa moja kwenye mada.
Events hizi zinaanza tar 01 mwez wa 3.
Sasa kuna huyu bidada(last year student, born...
Ni kama wiki 2 sasa imeshakatika tangu nianzishe mahusiano na huyu single mother lakini vitendo anavyonifanyia walahi huyu mother ananiroga taratibu ili nimuoe,
Kwa sababu Juzi kati hapa kaniita...
MWANAUME Unatakiwa Uwe Na Ghetto Safi
Hadi Siku Demu Wako Akija Kwako Kwa Mara Ya Kwanza Anauliza
"Baby Niweke Wapi Sidiria (Bra) Yangu"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wengi mageto yetu...
Habar za asubuh wakuu? bila kupoteza muda niende kwenye maada, mm ni kijana kuna mtoto mzuri namuelewa Sanaa, nimeanza harakat za kumfukuzia tangu November mwaka Jana, jibu lilikuwa ni kwamba ana...
Siku hizi mtu akitaka kuoa kuna kuwa na event nyingi mara utasikia kutangaza uchumba, pete ya uchumba, kitchen part [wakati muolewaji ameishawah ishi na mwanaume mwingine kwenye sogea tuish miaka...
Mara nyingi nasikia wanaume wa Dar wakiwalalamikia wanawake wa Dar kwamba wanapenda starehe na matumizi mabaya ya pesa lakini sio wote. Sema samaki akioza mmoja ndo hapo panapoleta shida kwakweli...
Muongozo wa kumega kisela aka ku-skip dating na kwenda kwenye msuguano , kupeana joto mutual induction.
Jaribu kutokua mtu wa kutoa hukumu au kuwa na mawazo ya kumjudge mwanamke au wanawake...
Wadau naombeni ushauri.
Mume wangu nampenda sana ila ni mpole kuongea kwake mpaka umuongeleshe umchangamshe nikiamua nami kuuchuna basi tunapiga kimya. Siku akiamua kuchangamka tu mwenyewe basi...
can not wait till i find you,
searched entire globe for you,
time is runnig out to hold to,
literally can not get someone to hold on to,
my patience is turning blue,
i can relate to the things i...
Wakuu habari zenu
Nia na dhumuni la uzi huu ni kujuzana au kuhabarishana matukio ya kikatili wanayofanyiwa wajane,yatima na walemavu, tuhabarishe kisa au mkasa wa ajabu uliowahi kushuhudia watu...
Wakuu hivi kuna mtu ashawahi kuwa na upendo kwa kitu au mtu mpaka akahisi bila hicho kitu au huyo mtu furaha hamna kabisa!!!
Nihiviii, kuna sikumoja hivii nilkua nnampenda mdada flani hivii...
Habarini wadau wa jukwaa pendwa humu jf. Niende direct kwenye mada
Mwanamke ambaye ni muhuni kwa hapa mtaani kwetu huwa anaitwa majina mengi sana, wengine humuita danga, kicheche, kiwembe na...
Nashangazwa sana na hii tabia ya baadhi ya wanaume wenzangu kushabikia vitendo vya kuwageuza kinyume na maumbile wapenzi au wake zao, hivi hizi laana mmezirithi wapi wandugu?
Uzi tayari......
Habari za usiku wakuu...poleni na majukumu ya mchana kutwa.
Nielekee direct kwenye hoja yangu! Nimewahi kuona ama kupitia nyuzi nyingi za wadada wanaodai kutafuta waume wa kuwaoa ( wengi wao...
unaweza jisomea kwa namna au aina moja tu siku zote na bado ukafaulu mtihani lakini hukunaga namna au njia moja katika mahusiano na ukafanya penzi kuwa la moto yani mapenzi yanataka kitu kipya...
MSIMAMO WANGU
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea, kifupi chake ni chetu.
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi, unless huo ubahili anaufanya kwenye mambo mengine ili amake more...
Habari wadau
Leo naomba nizungumze Jambo flani HIVi.
Unaweza umawa una rafiki/jamaa yako wa karibu saaana. Lakini kutokana na pirika za maisha mkaja mkasambaratika na kuishi sehemu za mbali...
Naomba watu wazma mnisaidie ili jambo, wazaz wetu uwez kuwaona waki kiss ana wakikaa kwenye kochi pamoja , au wakitembe pamoja wakiwa wameshikana mikono tatizo lipo wapi? Au mbona wazaz wa...