Wanadada mnaotafuta wanaume JF mnachokitafuta mtakipata

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Habari za usiku wakuu...poleni na majukumu ya mchana kutwa.

Nielekee direct kwenye hoja yangu! Nimewahi kuona ama kupitia nyuzi nyingi za wadada wanaodai kutafuta waume wa kuwaoa ( wengi wao wakiwa ni single mother) .
Dada zangu muwe makini sana ktk kutafuta kwenu huyo mume vinginevyo mtajikuta mnazalishwa na mnaachwa solemba.

Sisi wanaume Akili zetu tunazijua wenyewe.haswa tukishikwa na genyeeeee
 
Wakuu madini niliyowadokolezeaa ni kidogo sana .....wanaume tunamadini lukuki
 
Hii kama haijakaa sawa maana ulivyo wewe si wanaume wrote ndivyo tulivyo,nadhani hiyo ni tabia yako binafsi
 
Yani mawazo yako na tabia zako binafsi ndo utujumuishe wanaume wote? That's ridiculous!

Come on man, kwani wewe unawajua wanaume wa JF kuwashinda wanawake wa JF?

Kwa kanuni za chama la kiumeni, wewe sio mwenzetu tena, you're such a traitor!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom