Habari za wakati wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada pichani,
binafsii nkishaona napigwa chenga ya mwili kunyimwa mchezo pendwa(kugegeda) kwa sababu zisizoeleweka huwa nakuwa nmeshajua...
Mara nyingi mwanamke baada ya kutongozwa hupita siku kadhaa ndipo kuanza kuvutiwa na mwanaume aliyemtongoza.
dalili hizi zinathibitisha bila shaka kua mwanamke uliyemtongoza ameanza kuvutiwa au...
Habar za humu jaman
Hiki kitabu nlikisoma kipind nipo secondary but sikutilia maanani jina la hii tamthilia
Ila nimekuja kusadiki kuwa lile jina la kitabu litaishi miaka yote dunian
Jana...
Habari za jumapili ndugu zangu.
Zama hizi tofauti sana na na zama za zamani. Zamani Mzee utakuta ana wake wawili au watatu na kila mwanamke ana mji wake na familia yake. Lakini siku hizi mtu ana...
Wadau,
Hii nimeitoa kwenye lounge moja whatsapp, mdau mmoja anasisitiza umuhimu wa kujua nn kinaendelea ktika maisha ya mwenza wako.umuhimu wake kama ilivyo kwa umuhimu wa idara ya intelijensia...
Natafuta mchumba lakini awe na vigezo vifuatavyo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 20- 25 tu.
2. Awe anajua kusoma vizuri na kuandika.
3. Awe anajua kupika vizuri na kufua vizuri.
4. Awe msafi kuanzia...
1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye mwenyewe hajipendi.
2. Mtafute MUNGU kisha tafuta mwanamke bora. Ukiwa na hayo mambo mawili, suala la hali ngumu ya uchumi binafsi (financial freedom)...
Uwe mchangamfu
Uwe na akili ya maisha,namaanisha mfano hata kama sio msomi wa degree unaweza piga mission unapata hela.
Ujue kutafuta hela
Ujipende.uwe smart kimuonekano na kiakili
Uwe na upendo...
Kumekiwepo na malalamiko, sijui nguvu za kiume, hadi watu wanauza dawa eti zinaongeza nguvu za kiume hadi Massa 3.
Ninacho jiuliza, kwanini simba na nguvu zake, misuli etc anatumia chini ya dk...
Marehemu Anni Dewani
Marehemu Anni Dewani na mumewe Shrien Dewani siku ya ndoa yao
Eneo la tukio yalipotokea mauaji hayo
Mziwamadoda Qwebe (pichani kushoto) alihukumiwa kifungo cha miaka...
Leo sisi ndiyo tunasherhekea Mei Mosi.
Miaka mingi kidogo nilisoma hii story kwenye vitabu vya Danille Steel. Baba mmoja tajiri sana mtu mzima alikuwa na mke mzuri. Tofauti yao ya umri ilikuwa...
Achana nae .. Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele.
Achana nae!
Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona...
Kumekuwa na kasumba kubwa sana kwa wanawake wa ki bongo kukimbilia kunawa chini kabla tu hamujaanza kugegenana.
Wengi wao husema kuwa mara wametembea sana hivo jasho mara ooh siko konfotabo n.k...
★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!
★2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kimakonde au kizaramo kwanza...
Wakuu, hii ni habari ya kweli..
Nina mdogo wangu mtoto wa mama mdogo, huyu dogo hua hatuko jirani kivile ula hua tunawasiliana hasa kwenye maswala yake ya kazi akipata changamoto hua ananicheki...
Huu mtindo sijui wameutoa wapi wadada wajawazito siku hizi ni kama wanatembea uchi tu,
Utakuta wameshona vigaumi vyao flani hivi vya kitenge vimechanua alafu urefu vinaishia mapajani upepo...
Ni binti ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa.Huyu binti nilimpata kipindi anamalizia masomo yake ya chuo kikuu na wakati naingia nae kwenye mahusiano ndio alikua...
Jf people how are you?
Wanaume siku zote na wanawake hakuna asiyependa mapenzi.
Kwa hiyo hutafuta wamiliki wa mioyo yao.
Ila kuhusu mitandao woi sioni kama ni sehemu sahihi kumpata mwenza wako.
So...
Utakutana na msichana mzuri na mwenye muonekano wa kuvutia, akiwa na rika la kuanzia miaka 23 hadi 26 lakini mawazo yake ni mgando. Anatumia uzuri wake kama chombo cha kubadilisha mabwana na...