Hata yakupigwa na mkuyenge hutaki?Asante Mungu sina hayo mapenzi ya kifala.
DuuhKikubwa hakikisha unakua na first aid yako nyumban yenye kila kitu..dawa za vidonda, sprit,dawa za kupunguza maumivu n.k
Usimwache mchumba wako[emoji41]
Nakuquote kumbe na wewe unaniquoteHata yakupigwa na mkuyenge hutaki?
Mkuyenge hapo anipige hata kila siku, simshitaki popote na wala sirudi nyumbani.Hata yakupigwa na mkuyenge hutaki?
Sasa wote naona mnamshauri ampige chini mwamba....mimi bora niwe kinyume tuDuuh