Wanaume wenzangu leo napenda kuwashirikisha namna ya kukwepa vizinga kwa mchumba, demu, mchepuko n.k.
Katika maisha yako epuka kujibu maswali yafuatavyo kutoka kwa michepuko;
1."Mambo mpenzi...
#Malezi
Did You Know? Unthinkable as it is, research reveals that the home is the single most violent place in society. Family violence touches all kinds of families, including religious homes -...
Wakuu nisaidieni Ushauri wa kimawazo mdogo/rafiki wenu nimekuwa na mapenzi ya kupitiliza na simu yaani Sasa imekuwa too much.
Haipiti dakika tano sijachungulia simu yangu kuona nini kinaendelea...
Swali kwa Wale ambao wako kwene strong relationship hasa kuanzia mwaka na kuendelea
Hivi unawezaje kuwasiliana na mpenzi wako kila siku? Na mnapo wasiliana huwa mnakua mnaongea nini hasa...
Shilingi 20 tu ilifanya nionekane shujaa kwa kumnunulia mtoto wa afande Mwakipesile hili tunda,basi ndo ikawa mwanzo wa mahusiano yetu,kuhonga tumeanza zamani sana.
Straight to the point
Miaka kadhaa nikiwa advance shule X nilikutana na jamaa aliyekuja kuwa rafiki wa karibu sana. Sasa hii shule ilikuwa ni ya boarding halafu wanaume tu.
Waliosoma hizi shule...
I must speak the thruth guys.
Let me tell you something.
We are in jamii forum so many things happens like love friendships and cruels and much more
But for sure there is no love in here lets...
Helloww guys💁♀️
Last weekend nilikuwa mahali fulani hivi na rafiki zangu wawili wa kike ni katika kubadilisha mawazo na ku-share experiences mbalimbali za kimaisha na changamoto zake,.lakini...
Hii inaweza ikawa furaha hasa kwa wale Tim vipisi aka vibamiaa, kma huu utafit utakuw ni wa kweli.
Ndugu zangu Wanaume msiogope maneno ya galz kweny social medias mbalimbali hta humu Jf wanawake...
Asee kina dada wametisha.mtu anataka akuchunge kama vile ww ni mwanafunzi hasa hawa shombeshombe hatar.
Huu usiku wa saa saba nilikua zangu jf nachangia mada mbalimbali.mara ghafla bin vuu bibie...
Hicho ni kilio cha swaiba wangu wa karibu anaomba msaada,
Huyu mdada ana mume na maisha yao ni mazuri ya wastani, amezaa watoto 2 na mumewe cha ajabu anamtaka jamaa yangu ambaye ki umri ni...
Wakubwa habari!
Mwaka mmoja niliitembelea familia moja hukooo wilaya moja mkoa wa Singida. My friend had a lovely family. Alikuwa na kids 2. On my stay there kuna kitu sikuwa nimekielewa, mama...
Wana MMU jana nimekutana na msichana mmoja ile kuongea nae kumbe ana kigugumizi nikajikuta napenda anavyoongea verry romantic.
Napenda nioe mwanamke mwenye kigugumizi.... kabla hajamaliza...
Uzuri wa nyumba sio milango wala madirisha, uzuri wa nyumba ni mwanamke na sio kingine, kama nyumba yako itakuwa ina mwanamke mwenye maneno mazuri, hekima na busara, tabia njema, mwenye kujali...
Baada ya miaka miwili ya kuwa nawe, jitihada tele wa tele za kukufanya uwe na furaha na angalau uthamini upendo wangu, leo rasmi nimepata nguvu za kusimama tena na kuamua kuendelea na safari yangu...
Hakika katika kitu ambacho nimejifunza, sio salama kabsa kwa mwanamke kukujua kiundani, Mungu amewajalia hawa viumbe, kufanya tuwamini, ambapo badae inatubidi tuwaweke wazi katika maswala yetu...
Washikaji mnapojieleza kwa marafiki zenu wa kike /wachumba jaribun kuwa wakweli usijiite Manager ilihali si kweli Utaumbuka siku si zako.Kuwa mkweli tuu kwa Nia njema acha kuigiza[emoji13] mdada...