Wakubwa habari!
Mwaka mmoja niliitembelea familia moja hukooo wilaya moja mkoa wa Singida. My friend had a lovely family. Alikuwa na kids 2. On my stay there kuna kitu sikuwa nimekielewa, mama...
Wana MMU jana nimekutana na msichana mmoja ile kuongea nae kumbe ana kigugumizi nikajikuta napenda anavyoongea verry romantic.
Napenda nioe mwanamke mwenye kigugumizi.... kabla hajamaliza...
Uzuri wa nyumba sio milango wala madirisha, uzuri wa nyumba ni mwanamke na sio kingine, kama nyumba yako itakuwa ina mwanamke mwenye maneno mazuri, hekima na busara, tabia njema, mwenye kujali...
Baada ya miaka miwili ya kuwa nawe, jitihada tele wa tele za kukufanya uwe na furaha na angalau uthamini upendo wangu, leo rasmi nimepata nguvu za kusimama tena na kuamua kuendelea na safari yangu...
Hakika katika kitu ambacho nimejifunza, sio salama kabsa kwa mwanamke kukujua kiundani, Mungu amewajalia hawa viumbe, kufanya tuwamini, ambapo badae inatubidi tuwaweke wazi katika maswala yetu...
Washikaji mnapojieleza kwa marafiki zenu wa kike /wachumba jaribun kuwa wakweli usijiite Manager ilihali si kweli Utaumbuka siku si zako.Kuwa mkweli tuu kwa Nia njema acha kuigiza[emoji13] mdada...
Makala haya yanaangazia baadhi ya adhabu chache zinazogusa maisha ya wazazi / walezi na hata watoto katika kutimiza majukumu yao ya kila siku. Ingawa adhabu zipo nyingi katika Sheria ya Mtoto ya...
Yaani unakuta mtu ni mwanaume mbeya mbeya kama nini kazi kuhangaika na maisha yangu mniachee kwa maana sivaliani wake zenu vyupi au wachumba zenu.
Eti mwanamke ndio anapost post za kimapenzi na...
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe...
Hakika ile furaha niliyoikosa muda mrefu, sasa imerudi.
Tangu nilipoamua kuhamishia mapigo yangu kwa mke wangu na kuachana na michepuko, nimejikuta penzi letu linanoga siku hadi siku.
Kila...
Kuna wanaume kibao wameonesha nia ya kutaka kunioa lkn nimewakataa.
Wapo wengine wana ajira za maana, lkn niliwauliza swali moja tu. Unasafiri mara ngapi safari za nje ya nchi? Kila aliyeonesha...
Unajua mwanamke ili afanye sex anahitaji vitu vingi sana vitu zaid ya 30 na mwanamke huyu nayemuongelea hapa sio yule anafanya mapenz kwaajil ya kujipatia kipato au yule alie bakwa.
Ila mwanaume...
Miaka 18 – 22
Ni kipindi ambacho binti huanzisha mahusiano yake ya kimapenzi, kwa maana ya kwamba ukikutana na mabinti 10 walio katika umri huu 8 watakwambia wana “boyfriend”.
La msingi kutambua...
Habari wanajamvi,
Kuna ka tabia fulani wanako wadada kiukweli nashindwaga kuelewa, yani unakuta mwanaume unakutana na mdada sehemu yaweza kuwa kwenye gari, mtaani au sehemu nyingine unaanza...
Habarini za saa hii wana JF
Mimi ni kijana ambaye damu inachemka. Naomba kujua mazoezi au hatua ambazo mwanamke atafanya au kufuata ili aweze kukatika kitandani.
Nina maana mwanamke gogo awe...
Mapenzi ni mazuri sana ila sisi wanadamu ndo tunafanya yaonekane mabaya, hovyo, hadi tunafikia kuyachukia na kuchukiana.
Na hii yote inatokea pale mmoja anapokuwa kwny mahusiano kimaslahi zaidi...
Habari za wakati huu wana,,Hopefully mko vyedi,,,Acha niende live kwenye topic,,Juzi kati tu apa fiade nikiwa nime'chill ki'home boy sina njaro na izi ma'raia za apa Gachuland,Mala ghafla mlango...