katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Yaani unakuta mtu ni mwanaume mbeya mbeya kama nini kazi kuhangaika na maisha yangu mniachee kwa maana sivaliani wake zenu vyupi au wachumba zenu.
Eti mwanamke ndio anapost post za kimapenzi na zamani ilikuwa ni wanaume tu.
Napia kama mimi ninapost nitaendelea unawaacha mashoga wanaongezeka na kuwaharibu watoto wenu wakiume
Badala yake mnamsema katoto kazuri hivi au vile naomba mniache kabisa mnawangalia ila katoto kazuri ndio kabaya kanawaharibu huku mnaaribiwa kivipi kwafano???
Mimi sio saizi yenu.