Ni yapi mazoezi ya kumuwezesha mwanamke kukatika kitandani?

Ni yapi mazoezi ya kumuwezesha mwanamke kukatika kitandani?

mynah

Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
59
Reaction score
89
Habarini za saa hii wana JF

Mimi ni kijana ambaye damu inachemka. Naomba kujua mazoezi au hatua ambazo mwanamke atafanya au kufuata ili aweze kukatika kitandani.

Nina maana mwanamke gogo awe kiuno laini ili amridhishe ampendae.

Natumai humu wote tumepitia relationship au tupo japo kuna wengine masingle na wengine tayari ndoani. Hivyo ombi langu kwenu ni kunipatia somo zuri la kumfanya mwanamke gogo aweze kukatika kitandani wakati wa sex

Ahsanteni nawatakia siku njema kwenu...!
 
We cha kufanya wakatiuunamgegeda muimbie ile nyimbo
"miuno miuno miuno miunoo miunooo"
Utaona tu shughuli yake.. Hebu kajaribu ulete mrejesho
 
Habarini za saa hii wana jf Mimi ni kijana amabe damu inachemka naomba kujua mazoezi au hatua ambazo mwanamke atafanya au kufuata ili aweze kukatika kitandani
Namaana mwanamke gogo awe kiuno laini ili amridhishe ampendae
Natumai humu wote tumepitia relationship au tupo japo kuna wengine masingle na wengine tayri ndoani
So ombi langu kwenu ni kunipatia somo zuri la kumfanya mwanamke gogo aweze kukatika kitandani wakati wa sex
Ahsanteni nawatakia siku njema kwenu...!
" Si U-Google..!! "
 
Sijampata dia wangu, kuna mahali umesikia yupo?
Kumbe ulikuwa serious 😂.....sijasikia yupo dear ila kuna ka x kangu flani katoto ka morogoro tungekuwa hatujagombana ningekupa kakufundishe maana kalikuwa balaaa.....tulikuwaga tukiwa wenyewe kananifanyia hizo show usipime balaa lake
 
nunua girisi.. paka kuzunguka kiuno.. tandaza pesa kitandani hasa zile nyekundu.. mwambie azilalie... fungulia mziki piga nyimbo nzuri kama wapoloo wapoloo.. wapolooo wapoloo.... wapoloo wapooloo.. watu wa ukanda ule hua wanaupenda..
.
.
ulete mrejesho!
 
Kumbe ulikuwa serious 😂.....sijasikia yupo dear ila kuna ka x kangu flani katoto ka morogoro tungekuwa hatujagombana ningekupa kakufundishe maana kalikuwa balaaa.....tulikuwaga tukiwa wenyewe kananifanyia hizo show usipime balaa lake
Niconnect tu ndio upate na tiketi ya kusameheana au haukataki tena.
Nipo serious mno yani serious kabisa
 
Niconnect tu ndio upate na tiketi ya kusameheana au haukataki tena.
Nipo serious mno yani serious kabisa
Sikataki tena kwa kweli kataniuaa....ngoja nitakutafutia tu mwalimu wa hayo mambo maana umepania kweli...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom