Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ? Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani...
16 Reactions
43 Replies
2K Views
Juzi kati nimepata mualiko wa kushiriki katika kikao cha upatanishi wa jamaa yangu mmoja na mkewe, mambo yaliyo endelea hapo ni ajabu kwa kweli, mke analia hadi machozi anadai kwamba mumewe hajari...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Piga picha au video na wazazi wako. I promise you siku moja utashukuru ulifanya hivyo. Kumbukumbu zetu na watu wa karibu hufifia akilini, lakini picha huhifadhi matukio hayo ya thamani milele...
29 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu habari za nyie... KWa hakika siku hazigandi, na hawakukosea walivyosema "What goes around comes around"! Vile tunavyowaonaga ndugu upande wa Baba miyeyusho hasa mashangazi, tunavyowaonaga...
22 Reactions
102 Replies
2K Views
Kuna wakati inatokeaga kama ajali mtu usiye mtarajia akaja kuwa rafiki wa muhimu kwenye maisha yako. Mm nilikutana na huyu jamaa kama kmteja tu na huu ni mwaka wa 5 amekuwa rafiki wa faida kwetu...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwal wae msiooa bado ujumbe wa leo ni huu. Mwanamke akijiingiza kwenye siasa Realy kabisa ni sawa na mwanamke aliyetekwa na hawa manabii fake utalia kila iitwapo leo. Mimi nimekuwa kada wa ccm...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Nilikua nimempania nimpige mashine kisawasawa. Ila kaja ghetto mbiyo mbiyo. Kafika tu kaweka mkoba wake kabatini akaniambia tumbo linamkata hivyo anaingia toilet kuharisha. Dah, katoka baada ya...
14 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanawake/warembo wanapenda mambo yaende haraka haraka sana. Ukianza nae mahusiano leo kesho atataka apajue unapokaa aje akusalimie, kesho kutwa atataka ukamtambulishe home kwa wazazi au yeye...
10 Reactions
19 Replies
758 Views
Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba. Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba...
3 Reactions
4 Replies
244 Views
Kwa upande wangu sipendi kuulizwa na mtu niliemuoa nikamleta kwangu na mahari nilimlipia, yaani nakuja kwangu nipumzike uniulize hivyo! Hapana, nitajihisi kama umenidharau sana kama mtoto...
3 Reactions
22 Replies
555 Views
Mke sio demu kama unaona kabisa kipato chako nichakuunga unga huna uhakika wa kumake elfu kumi kwa siku usioe usijekuwatesa watoto na mkeo bure.
17 Reactions
85 Replies
2K Views
Posted by a life Dijest Loving a person is not by force, its by choice, never make the mistake of forcing a person into loving you simply because you love them and you want them to love you in...
3 Reactions
10 Replies
792 Views
Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE. Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama. Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Kuna kitu huwa nakiepuka sana! Kuvaa nguo zenye maandishi na michoro nisiyojua maana wala tafsiri yake.. Kwakuwa huwezi jua umevaa kitu kilichoandikwa nini na tafsiri yake ninini Lakini zamani...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Nilianza uhusiano na huyu binti tangu nipo kidoto cha 3 hadi sasa nimemalizana na mambo ya elimu na nipo na harakati zangu mtaani, ukweli ananipenda sana hata mimi nampenda ila niwe muwazi siyo...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Kwema wakuu, heshima mbele! UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi. to be continued....
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Mume wa marehemu DJ Brown anaandika Nilipomfumania mke wangu (red handed) mara mbili na rafiki yangu kipenzi hakuwepo yeyote kunisaidia kutatua maswala yetu! Kila nilipoleta maswala hayo...
16 Reactions
415 Replies
24K Views
Wakuu, Nimekutana na video hii ya harusi ya watu wa kabila moja huko Nigeria, nimewaza sana kwa vyuma vilivyokaza sidhani kama wanaume wa Kitanzania hasa wa Daslam wangeweza. Huu utaratibu uko...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Miaka ya 1990 kurejea nyuma, wanaume tulikuzwa na familia zetu kuwaona wanawake kama viumbe wa kuwalinda na kuwajali sana. Hii haikuwa Tanzania tu bali ulimwenguni. Ukitazama filamu,wanaume...
4 Reactions
71 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…