Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu nimetoka kuvuta Chek yangu hapa BOT kwa wale wanaopendelea kula Bata na watoto wa nje hususani Bara la Asia nipeni mawili ma3 jinsi ya kwenda kujivinjari na watoto wa Asia. Visa nimepata...
0 Reactions
121 Replies
10K Views
Mimi ndimi. Eeebana wanawake sometimes mnatufanya sisi tuwe wababe na roho mbaya. Utakuta mwanamke kiburi, anaongea Kama kameza CD, yani analeta umwamba Kama yeye ndio mwanaume! Ama hakika...
4 Reactions
84 Replies
10K Views
oohhooooo!!! eeebanaaae! ama hakika, mimi ndimi. KING KIPEPE. Aseeee! wanawake, sisi wanaume cha kwanza kuangaliaga inakuaga ni Wowowo, halafu tunaangali kifuani napo kama panalipa mazeeeee...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Chanzo cha habari ni global TV Mwanaume amelalamika kuwa mkewe alileta HIV ndani , pia aliendelea kutenda mambo ya ovyo ndipo ninja akafanya yake. Wanawake hakikisheni mnapambana kutengua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi Uvinza kukoje?? Kuna nini uko?? Naona daily vijana wanakukimbilia sana. Mimi msimamo wangu ni kwamba nitakapo oa tu, nitaingia uvinza kiroho safi bila kuambiwa. Ila kwa sasa siwezi hata...
7 Reactions
343 Replies
22K Views
Baada ya kipindi kirefu kupita kwenye mahusiano na warembo kadhaa ambayo yalikuwa hayana furaha upande wa kutimiziana haja za mwili kutokana na warembo hao kulalamika kuwa nawaumiza sehemu zao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu Grear thinkers Mapenzi ni mazuri na ni matamu sana pia yanaumiza haswa,ni matamu pale unapoona yanakufit kwa namna yako na jinsi unavyo ya tafsiri, Mapenzi hayana tofauti na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Dear singles: rejoice coz very soon God will give u that man/woman that would truly love and care for U the way you have always wanted!
3 Reactions
5 Replies
750 Views
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikaa kama miezi minne. Baadae naona alipata mtu ambaye aliona alikuwa sahihi kwake kuliko mimi. Dada na vitimbi na visa kibao nikaamua kuachia nafasi kwa moyo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Sorry friends, hiii post ilikosewa. Title iliingia tofauti lakin nataka nieke Uzi vizuri. Uzi unakuja mwingine.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
ALL D BEST
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Can You Quit School For $10 Billion ? Remember Education is the Key πŸ”‘πŸ˜πŸ˜˜πŸ˜† ......Nimeikuta sehemu,imebidi nicheke kwa sauti kuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UBINAFSI Wanawake ni watu wa ajabu sana, kama haujawai gundua watu hawa hutanguliza maslahi yao mbele kwanza iwe kwenye ndoa au mahusiano, wanawake huwa tayari amekwisha pima na kutambua kitu cha...
10 Reactions
49 Replies
9K Views
UMESHAWAHI kukutana kimwili na watu wenye uhusiano wa karibu? Kama vile Mtu na rafiki yake? Mtu na ndugu yake? Mtu na jirani yake? Mtu na mtoto wake? Mtu na mama yake? Mtu na mfanyakazi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Girls with one☝ boyfriend, may God bless you all this year!πŸ™πŸ’•πŸ”₯
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naimani sipo peke yangu mwenye mke mzuri mrembo mweupe wa asili na nampenda sio kidogo. Yani akisema uwahi kutoka kazini..fasta nimerudi, naomba sijui nitumie gari yako weekend ijayo..fasta naweka...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Katika maisha ya kuishi watu tofauti Kama marafiki,Ndugu na jamaa wengine lazima kutakuwa na tofauti za kimaumbile na kitabia baina yetu bila shaka. Kama tu rafiki ambaye unakutana nae katika...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa maisha town pesa ndio injini ya maisha ya kila siku kwa kila kitu iwe umebanwa na kiu au umebanwa na haja ndogo au kubwa lazima pesa itahusika kuondoa tatizo lako. Sasa nimegundua hata kiumeni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau kama ukiwa na mume wa mtu ni unaharibu ndoa ya watu husika. Je, kuhusu waislamu wanaoongeza wake na ni wahalali wao hawaaribu ndoa ya huyo waliomkuta kwani wao ni malaika? Bila shaka...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…