Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu
Yani Mwanaume...
Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti.
Hiko hivi kuna huyo Kijana...
Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY
ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe.
yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka
Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani...
Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye.
Wote ni watumishi.
Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara...
Nyie vijana mnaodhani wanawake wanawapendea pesa au utanashati mnakosea sana. Ile natural attraction bado ipo, wewe tembea uone. Mnashinda mijini na mitandaoni huko ambapo kuna wanawake wenye...
Hivi mwanaume kabisa upo serious unasema una dem, ata nauli ya kukufuata ulipo hana mpaka umtumie , kuna jambo hapo kweli au ubwege?
Mwanamke ata vitu vya msingi, basic needs hawezi kujigharamia...
Kuna siri kubwa sana kwenye kifo.. Kifo ni fumbo lisilo na majibu mpaka leo hii
M'miss mtu aliye hai lakini yuko mbali nawe! Huyu mnaweza kuja kuonana lakini sio mfu.. Ambapo kwa baadhi ya imani...
Huwa sina muda wa kufuatilia simu ya mwanamke. Kwanza ni utoto na kutafuta kuachana. Yeye alikuwa ana behave mtu innocent na decent sana, hana wasiwasi na simu yake.
Siku moja akaniachia...
Kabla sijawapa hii story nina lalamiko langu serikali iangalie hili suala, nasafiri sana na SGR Dar-Dom ila tangu nimeanza hizo safari sijawahi kukaa siti moja na mrembo yoyote
Yaan kwenye...
Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama
Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa...
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari
Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini...
Wakati mwingine unakutana na mtu ukiwa na nia ya “tutacheza tu, hakuna future,” lakini kadri muda unavyopita — mazungumzo yanakuwa mazuri, vibe inakaa fresh, na ghafla moyo unaanza kuwekeza bila...
Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika
katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake...
Kwema wakuu
Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili.
Hapo unakuta
1.Anakunywa Ernegy
2.Soda Pepsii Bariidi
3.Anapenda wanawake balaa
4.Anakula Gomba na...
Leo nimechoka choka tu, sijui kwa sababu tunaianza wkend? Nashawishika niende maeneo ya muziki muziki huku moja baridi moja moto, angalau siku ipite.
Natafuta kampani ya mrembo mkali kuliko wote...