Unqualified Audit Opinion; Nilishukuru kinoma

Unqualified Audit Opinion; Nilishukuru kinoma

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,086
Reaction score
137,992
Huwa sina muda wa kufuatilia simu ya mwanamke. Kwanza ni utoto na kutafuta kuachana. Yeye alikuwa ana behave mtu innocent na decent sana, hana wasiwasi na simu yake.

Siku moja akaniachia nimsaidie jambo kwenye simu yake. Nilijitoa akili nikaipiga sachi simu yake kwenye deleted sms. Nikakuta sms ya fundi umeme jamaa yangu. Bahati nzuri alikuwa anamtukana asimzoee la sivyo atamsema kwangu. Daah nilishukuru kinoma, nikawa nimempa Unqualified Opinion, wahasibu wanaelewa.

Lakini usalama wako na ndoa au mahusiano yenu, achana na simu ya mpenzi wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom