Ninaandika hii nikikumbuka tamthilia ya Kenya iliigizwa na Lupita Nyon’go kabla hajakwenda Hollywood.
Vijana walianza mapenzi shuleni. Baada ya kumaliza kidato cha nne waliamua kwenda Nairobi...
Kama mwanaume kuna wakati unagundua ulitua kwenye mti usiokufaa; yule uliyemuamini mwanzo kwamba akiwa mmiliki msaidizi maskani kwako nyumba itakuwa ni edeni ndogo anakwenda ndivyo sivyo, tofauti...
Ndugu wanachama wa chama cha wachepukaji Tanzania(CCWT), CHAPUTA, wanaume wa Dar, wanaume wa mikoani na wanajukwaa kwa ujumla, habari zenu.
Leo kama kiongozi mwandamizi wa CCWT naomba kutoa...
Habari zenu wana jukwaa MMU......
Inaeleweka kuwa kila kitu kinahitaji maandalizi maana hata kula chakula, Kujisaidia (Haja), Kukimbia na vingine vyote vnahitaji maandalizi....
Nisiwachoshe...
Kabla hatujafika mbali naomba turudie kusoma kichwa cha habari. Kimeandikwa ‘Pesa zinatupa wanawake wepesi’ hakisemi ni dhambi kuwa na pesa au kutafuta pesa.
Pesa ni nguvu, na nguvu ni kitu...
Imeshakuwa fasheni sasa hawa wadada wanaojiita waimbaji wa nyimbo za injili kuolewa na kukaa 'siku mbili' ndani ya ndoa kisha kuachana na kuolewa upya au kumangamanga.
Kibaya zaidi wanaendelea...
Habari wana jukwaa, Naomba kuuliza tu kwa wanaoifahamu vizuri taratibu ya kufunga ndoa ya kanisa Catholic. (RC)
Ndugu yangu anataka na ndoto yake ni kufunga ndoa ya kanisa Catholic, Lakini...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna siku Kaunga alisema hapa, Life of a woman begin at 30 nikamuona mwanga tu, hana lolote life of a woman ends...
Wasalamu wana MMU natumaini mu wazima wa afya, nawatakia weekend njema na maandalizi ya X-mass pamoja na mwaka mpya.
*************
Kipindi nko chuoni nilikuwa na GF wangu ambaye...
Habari zenu wana MMU.
Watu wanasema " Mwanao na Mwana wa mwenzio ndio mji ukavuma" kuna jamaa anaishi sehemu kijiji cha nyumba kama 6 dada na ndugu ndio jirani zake.
Toka jamaa akae hapo na mke...
Heshima kwenu wapenzi wa jukwaa La MMU.
Naomba tushirikishane taratibu za kuzingatia pale unapooa binti wa kabila lako,Ama kwa kumtorosha au kuchumbia, .Hii itasaidia kwa washenga kujua wapi pa...
Anasimulia Bokoman Mwana Mkongoman.
" Toka nmeoa huu ni mwaka wa pili sasa.tumefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike.nampenda mke na mtoto pia.
Tatizo mke anajua nampenda na amefikia hatua sasa...
Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha,ingawa kwa asilimia kubwa si watu wa kuwategemea sana hasa nyakati zenye changamoto nyingi. Ni vizuri kuanza kuwatathimini mmoja mmoja ili uingiapo mwaka...
Deus Mkombozi KiraFollow
December 9 at 10:45 PM
HABARI YA KUSIKITISHA NA LENYE FUNZO KUBWA NDANI YAKE!!!
Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu mmoja na mkewe. Yeye na mkewe walifariki kwa ajali...
Ananipa mapenzi yote bila kipimo...
Huyu mdada nimekuwa naye kimahusiano zaidi ya miezi sita sasa, yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu. Akija kwangu atanihudumia kama mumewe mfano kufua...
Mwanaume unajuana naey WhatsApp huko. Si unajua magroup haya, mara la primary, la sec, la Kijiji, la chuo, la mtaa, la biashara, la kilimo, la ma ex, etc
Katika hayo yote, kuna mafisi tu huwa...
Habari wana chit-chat.
Huwa sina mila za kuandika chochote katika jukwaa hili zaidi ya kusoma tu mada na michango ya member wengine.
Lakini leo kuna kadhia ambayo imenifanya na mimi nije kuandika...
Habari wakuu
Kweli nimeamini ijumaa 13 siyo siku nzuri kabisa, inshu ipo hivi, jana mida ya jioni hivi nilikua nina nilikua na miadi ya kukutana na demu wangu na kweli ilikua hivyo kwani tulianza...