Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Darassa kamshirikisha Sho Madjozi wa South Afrika ambaye ameishi kwa muda Tanzania pia kwenye ngoma 'I like it.' Sura ya mwanadada, Madjozi, inabadilika wakati wa kupelekwa taratibu na then puta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nilikua namfanyia interview moja ya shemeji yenu mmoja ili nione kama anafaa kuwekwa ndani Nikamwuliza mfano nikakupatia shillingi elfu 50 ya mtaji, utafanya biashara gani...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa nini wanaume wa Kiafrika wako "obsessed" (kupenda jambo kiasi cha kuliweka kichwani muda mwingi) sana na makalio na bikira ya mwanamke? Wanaume wengi sana huwa wanajisifia wakipata mwanamke...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Umewahi kutumia kiasi gani kikubwa kwa mara moja mgahawani / hotelini? Ukiwa na Mpenzi au Familiar Yako. Ukajikuta huwezi ku Affords Bill's kutokana na Kuja Bei za chakula /Vinywaji Ambazo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman naomba mnisaidie mawazo,maana ndoa yangu bado changa
1 Reactions
100 Replies
13K Views
Kisiwa cha Mangaia kipo kusini mwa bahari ya pacfiki kina wakazi kama 400 na zaidi, kina kilometa za mraba 51. Huko kwao swala la tendo la ndoa ni la kawaida sana na ni sehem ya zoezi kwa wanao...
5 Reactions
36 Replies
11K Views
Kumezuka Tabiaya Ma Dada zetu na ma celeb Ku date na vijibabu Vya huko ulaya Natamani kujuwa ni umasikini wao Ndio Sababu Kutaka kuhongwa Au niushamba wa ngozi Nyeupe Wanaume tumejaa Nchini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeamini mapenzi yanayoanzia kwenye muziki yananoga Sana na hasa ukiukumbuka wimbo maalumu wa enzi ya mapenzi yenu. Mimi mapenzi na mke wangu yalianzia kwenye wimbo wa ASHAWO CONSERT Abuja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Mwaka 2003, safari yangu ya kwenda Tanga iliiva kutoka mkoani Kilimanjaro, kwa babu mzaa baba, kuelekea Tanga kwa babu mzaa mama. Siku hiyo nyumbani kwa babu kulikuwa na sherehe, basi watu...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Mwaka flani nilipanga mitaa flani Kinondoni miaka hiyo nlikuwa single ndo nmetoka chuo nimepata ajira Bank Flani. Kwenye hiyo nyumba alikuwepo bi dada mmoja mzuri kinyama...anapendeza and very...
22 Reactions
93 Replies
11K Views
Kuna msichana tumekuwa kwenye mahusiano tangu mwaka jana mwezi 11, ila kipindi chote icho hakuwa na imani na mimi kama nipo serious nae kwa sasa anadai ananipenda sana baada kugundua upendo wangu...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Wanangu wajamii forum nnahitaji msaada jamani nifanye nini ili na mimi niache kuogopa madem.. maana kuna mda nnaweza panga nisimamishe msichana lakini akikaribia tu naogopa tena Nishairini...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu ,ni muda kidogo nilikuja na uzi kuhusu kabinti flani ka mkoa wa Pwani. Kiukweli kalinisumbua sana hadi nikataka kukata tamaa kumbe ni kuwa hakakuwa kametobolewa(bikra) bado...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Matarajio ya watoto ni jambo ambalo limekuwa halipewi kipaumbele na wazazi ama walezi walio wengi kwa kudhani kwamba watoto ni viumbe wadogo wasio na fikra zenye mashiko. Makala haya yatazungumzia...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Mnamo tarehe 8 Januari 2020, Kati ya saa 5:17 Usiku na saa 5:46 Usiku, Msamaria na mkazi kutoka kata ya Isikiva, Wilayani Uyui mkoani Tabora alipiga simu Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu Niko hapa kutafuta marafik ambao tuna endana kwa vitu tunavyo penda na sio kama Sina marafik ila nahitaji marafik wapya.binafsi Mimi ni kijana Nina 28 age. Job: nimeajiliwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarin wanajamvi, leo katika moja ya group la WhatsApp la watu tuliosoma pamoja advance, kuna mdada kakosea kutuma picha kwenye group, picha yenyewe ikimwonesha utupu wake (full picha mpka sura...
3 Reactions
73 Replies
12K Views
Huyu mother ana mambo ya ajabu sana Baada ya kupigiwa simu na mwanae Analia nimempa kipigo kisa meseji alizokuwa anachat na jamaa mwingine,basi mama mkwe kaja juu kanipigia simu sijapokea kaanza...
10 Reactions
58 Replies
49K Views
Baada ya kutuma ulafu ukaanza kumpgia sim bae unaambiwa namba unayo piga haipatikani, ulifanyaje fanyaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na je uliendelea nae au mahusiano yaliishia hapo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia. Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji...
3 Reactions
145 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…