Wiki iliyopita nilimfanyia interview shemeji yenu mmoja ili nione kama anafaa kuwekwa ndani

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
698
Wiki iliyopita nilikua namfanyia interview moja ya shemeji yenu mmoja ili nione kama anafaa kuwekwa ndani

Nikamwuliza mfano nikakupatia shillingi elfu 50 ya mtaji, utafanya biashara gani?

Nilipata majibu baada ya hapo nikafunga interview. Hivi wiki hii nitakua na interview nyingine na shemeji yenu mwingine.

Baada ya hapo nita shortlist
 
Hivi ungekuwa hata na laki tano si ungeringa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada naomba soma jina langu hapo juu, pesa ninayo ya kuishi nawewe maisha yoyote unayo hitaji, ila sipendi mwanamke dependant. Mimi ndio Tajiri Mapesa. Hiyo laki tano unayo isema mimi kwangu ni pesa yangu ya matumizi kwa wiki hesabu mwezi una wiki ngapi ndio pesa yangu ya matumizi ya chakula kwa mwezi.
 
Angesema hata angenunua nazi mbata na mihogo mibichi aanze kutembeza.Lakini ishu ni kwamba kama amevaa wigi la ARISTOTE! Ulimpa wakati mgumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio changamoto, mimi nilikua nampima kama ana idea zozote kichwani

Hata angeniambia mpenzi ntaenda kujumua hata matunda nitembeze au nitajumua kuku wangu kazaa naanza kukaanga nyama ya kuku na kuwauzia watu
 
Hivyo vigezo vingine nilisha mpima tayari ila kwenye swala la mahesabu ya pesa mama hayupogi vizuri anajuaga kutumia tu
Mkuu ni ngumu sana kupata Mke ambaye amekamilika kila idara,vitu vingine ni juu yako wewe kumuongoza na kumbadilisha.
 
Dada naomba soma jina langu hapo juu, pesa ninayo ya kuishi nawewe maisha yoyote unayo hitaji, ila sipendi mwanamke dependant. Mimi ndio Tajiri Mapesa. Hiyo laki tano unayo isema mimi kwangu ni pesa yangu ya matumizi kwa wiki hesabu mwezi una wiki ngapi ndio pesa yangu ya matumizi ya chakula kwa mwezi.
Wenye pesa hua wanatambulika kwa vitendo vyao, sio maneno.
Back to mada, kama ndo unapima mke kwa style hyo bas ushafeli mkuu
 
Mkuu ni ngumu sana kupata Mke ambaye amekamilika kila idara,vitu vingine ni juu yako wewe kumuongoza na kumbadilisha.
Ni kweli mkuu, ila kwenye hii interview hachomoki, mimi sipendi mtu kila ukiongea naye kidogo tu ukimpa chance ya kujieleza eti babe nikwambie kitu zile pedi zimekwisha umekaa kidogo babe nkwambie ktu nywele zmefumka, mfyuuuuuu si uzinyoeeee tu
 
Back
Top Bottom