Nimekua niki-observe hili swala kwa mda mrefu kidogo na kwenye familia nyingi tofauti, utakuta ndugu wenye uwezo mkubwa kipesa wanawatenga ndugu wenzao wasio na pesa kinamna flani, sio kwamba...
Ni shemeji yangu kabisa,mumewe na mimi tumezaliwa baba na mama mmoja. Mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu nilikuwa nikitatua changamoto za ndoa yao,mpaka imefikia wakati sasa amani...
Wakuu habari za jf Bwana Yesu asifiwe, assaalam alykum wapendwa,, niwaombe tuzidi kuliombea taifa letu liwe na uchaguzi wa amani.
Bila kupoteza muda niingie kunako maada,, siku za nyuma nilileta...
Habari jf , nina mwanamke simuelewi hata kidogo amekuwa na wivu kupitiliza imefika hatua kablock watu wote nilikuwa nao karibu kama friends tu wakawaida, akaona haitoshi kanikataza nisiwe karibu...
Leo ikiwa siku ya hedhi salama nimekuletea hii kutoka kwa mdau. Kumbuka WOTE INAWAHUSU ili kuepuka zile mimba za bahati mbaya.
Wasichana na wanawake wengi kutoka na misamiati migumu...
Kujiamini Kupita kiasi inaweza kuwa jambo la kawaida kwenye mahusiano au ndoa Ila inategemeana na mahala gani ulipo na kwa wakati gani. Kwa mfano kuna baadhi ya vitu hutakiwi kusema kwa...
*MAHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA.*
*SOMO: INAWEZEKANA KABISA KUEPUKANA NA TAMAA YA UZINZI.*
Mafungu elekezi:
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi...
Leo katika pilika za mitaani nimekutana na mrembo wa kitambo tuliyepoteana back 2013 pale Singida kwenye shule moja hivi. Alikuwaga mdada shy Sana na full mlokole. Ulikuwa ukimgusia ma-love...
Habari za saa izi wakuu? Natumai mpo wazima na poleni kwa mchoko wa mihangaiko ya leo.
Basi bila kuwachosha ningependa mnipe mawili matatu kuhusu jinsi yakujipenda mwenyewe. Baada ya kuumizwa...
All marriages are never the same. Science has finally discovered a way to categorize attributes of marriage into boundaries.
These boundaries include the following : personal space and physical...
Katika mahusiano kuna kipindi mnaweza kupitia changamoto ambayo ikakufanya wewe na mwenza wako mpeane Likizo sasa kipindi hiki inatakiwa uwe makini pale mwenza wako mnaporudiana sasa leo naomba...
Nimegundua pete za ndoa lazima ziwe na uwazi kiusalama maana tukinenepa watu huzivua kwa sabuni zinagoma, muundo huo ni ubunifu wangu haki miliki ninayo.
Habari jf ,
Nina mwanamke simuelewi hata kidogo amekuwa na wivu kupitiliza imefika hatua kablock watu wote nilikuwa nao karibu kama friends tu wakawaida, akaona haitoshi kanikataza nisiwe karibu...
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,
Kila mwanamke yeye ndo...
Kuna kitu wazee na vijana wadogo hawajui chochote kuhusu.
Kanisa pia limefumba macho juu ya suala hili. Hakuna mtu anayetaka kuizungumzia lakini ni ya kweli.
Ikiwa haujui ndugu zangu, nataka...
Mie nipo single tu kama Marioo kwa sasa, japo nimewahi kua kwenye mahusiano ya kimapenzi hapo nyuma
Niseme machache katika sekta hii ya mapenzi.
Dear ladies;
Sie wanaume tumekua tukiwapenda sana...
Jana nilikua napiga story na mshaji wangu, baada ya maongezi ya hapa na pale akaomba msaada wa mawazo kutoka kwangu.
Mke wake amekaleta kabinti hapo nyumbani kwa ajili ya kukalea na kukasomesha...
Yaani mtu, anadai hawezi kutumia jiko kupika wali, eti ilo jiko haliwezi, jiko mmenunua zaidi ya laki 7, linaoza, unamwachia, elfu 10K, ya kula ukitoka kuangaika jioni unamwambia unakula nini...
Habari zenu wakuu..Kwanza kabisa Mimi Ni kijana,mwanafunzi wa chuo Kikuu flani Hapa mjini Dar.nilikuwa na mpenzi wangu ambaye yeye siyo mwanafunzi..Sasa alipata mimba pasipo kutarajia..mimba hiyo...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Mzazi mwenye...