Fahamu tofauti ya mtu anayetaka mrudiane na anayekutafutia timing muachane pale mmepeana likizo

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Katika mahusiano kuna kipindi mnaweza kupitia changamoto ambayo ikakufanya wewe na mwenza wako mpeane Likizo sasa kipindi hiki inatakiwa uwe makini pale mwenza wako mnaporudiana sasa leo naomba nitoe tofauti Kati ya a mtu anaekulia timing muachane na aenetaka mrudiane kwa upendo.

1. Anaetaka mrudiaene huwa yupo tayali kusamehe makosa yako anaekulia timing Hayupo tayali kusamehe makosa

2. Anaekulia timing huwa ni mgumu kuomba samahani anapokosea anaetaka mrudiane huwa yupo fasta kuomba msamaha

3. Anakulia timing hupenda kukumbushia makosa yako anaetaka mrudiane hakumbushii makosa yako

4. Anaekulia timing anajikita sana ktk kukukosoa jinsi ulivyo anaetaka mrudiane huwa anakusifia sana umebadilika

5. Anakulia timing hakutafuti mpka umtafute anaetaka mrudiane atakutafuta full time

Haya mnaweza kuendeleaaaa
 
Wakati nikiwa na miaka 17 mwaka 2000 kipindi icho nikiwa naishi njombe kama houseboy wa mzee mmoja ivi nilikuwa namsaidia kazi zake nyingi sana alikuwa ananilipa kwa mwezi Elfu 5 sasa.Sasa nikatokeaga kumpenda dada mmoja ivi alikuwa kamaliza form4 kipindi icho alinipitaga kama mwaka ivi ki umri aisee yule dada alinitesaga ule mshahara wangu wa Elfu 5 nilikuwaga nampaga wote namuibia maziwa ya ng'ombe nampa yani nilikuwa nampa vitu kibao.

Sasa kuna kipindi mambo kwenye ile familia niliyokuwa nakaa yakaenda vibaya mzee aliyumba kiuchumi mshahara akawa anipi mana nilikuwa kama part ya familia yule mzee mana alinikuta tuu stend sina ishu yeyote akanipa kazi kwake kuchunga ng'ombe kuhudumia ng'ombe kuhudumia kuku kusafisha nyumba kuhudumia nguruwe yani kazi kibao sasa yule binti nikawa simpi huduma yeyote kama miezi miwili hivi uwezi amini alinifanyia vituko hivyo mara aniambie oooh mm nimechoka kuwa na mtu ambae hanipi huduma una jinsi navyopauka sina mafuta sina nn nimechoka kukuvumilia tuachane Chabro..ndo alikuwa my first love kumuacha siwezi aisee alinipiga chini kisa simuhudumii.

Mungu si Athumani yule mzee kwa kuwa nilishi nae vzr aliningizaga jeshini mwaka 2002 now ni mtumishi wa uma niko na familia yangu mke na watoto 6 + wa wife 1 jumla tuna watoto 7 tunaishi vzr tuu.

Yule dada ni mwanasheria now kazalishwa watoto wa 2 ananitafutaga sana nikamwambia now siwezi tena kuwa na ww mana nina watoto wakubwa mno na pia siwezi tena kumbushi kupasha kiporo sbb namuheshimu mke wangu nimetoka nae mbali sana ulivyoniachaga nikampataga mke wangu mwalimu wa shule ya msingi anafundisha watoto wadogo darasa la kwanza.

Funzo mahusiano bila pesa ni sawasawa na hakuna ni wanawake wachache sana wanao weza mvumilia mwanaume akiwa hana pesa kams uhudumii utaaachwa tuu kama nilivyoachwa mm na mwanasheria

Ukiona mwanamke au mwanaume anakuzingua sana usiforce mapenzi mapenzi yapo tuu piga chini basi mm now nina umri wa miaka 37 mtoto wangu wa kwanza kijana ana miaka 16...yuko form 5 mwaka huu uwa namfundishaga mambo mengi sana kusu wanawake na mwambiaga tafuta ela utakuja enjoy sana kwny mahusiano ila ukiwa huna pesa utapata ugonjwa wa moyo tuu pia tafuta mwanamke ambae unahisi mnaendana

Mahusiano hayana mwenyewe kama maendeleo yalivyokuwa hayana chama.
 
Hongera kwa mafanikio yako mkuu. Ulitoka mbali sana na huyo mzee naadhani unamheshimu kama mzazi wako.

Kutoka kwenye zizi hadi kukatwa PAYE si kazi nyepesi wala si bahati ya kila mtu.
 
U

Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Mkuuu hongera sana
 
Hongera kwa mafanikio yako mkuu. Ulitoka mbali sana na huyo mzee naadhani unamheshimu kama mzazi wako.

Kutoka kwenye zizi hadi kukatwa PAYE si kazi nyepesi wala si bahati ya kila mtu.

Tena sana alinisaidia mno na yy ndo sababu ya kunifanya mm leo nije nishi uku Njombe aisee nina muheshimu mno tena sana yani namuheshimu vibaya mno nilitoroka home nikiwa mdogo sana nikiwa chalii wa miaka 14 nilivyoona mambo siyaelewi elewi ugomvi kila siku wazazi wanagombana nikaona bora nijesepee zangu tuu nikarudi home nikuwa private wa Jeshi mama angu alilia sana alivyoniona mana atukuonana almost 7yrs...7yrs imagine umuoni umtii mama machoni tena mama mzazi niliondoka hm nikiwa na umri wa miaka 14 awakujua nimeenda wapi narudi home naumri wa miaka 21 nimepitia mengi sana katika maisha yangu nimeona Mengi sana katika maisha yangu mazito na ya kutisha ya kufurahisha ndomana sitaki kuwa na wanawake wa njee sababu najua madhara yake ni makubwa mno kwenye familia..ukiendekeza ngono mahusiano yakikuyumbia huaribu sana mlolongo na mtiririko wa maisha yako...
 
Back
Top Bottom