Mwanamke kukuwekea watu wakuchunguze

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Habari jf ,

Nina mwanamke simuelewi hata kidogo amekuwa na wivu kupitiliza imefika hatua kablock watu wote nilikuwa nao karibu kama friends tu wakawaida, akaona haitoshi kanikataza nisiwe karibu na hao wanawake wengine kwani anajisikia vibaya sana akiona hayo

Sasa hivi karibuni ameniwekea watu wanichunguze kila nalofanya yeye akiwa hayupo na kuwalipa wamtumie pucha ikiwa nimekaa na msichana au nacheat kumbuka huyu mwanamke nipo nae ofisi moja tunafanya kazi lkn amekuwa mkorofi mno hata sielewi kwanini yupo hivi, kwanini anafanya haya

Nimekuwa mtu wa kuomba msamaha kilasiku sasa sijui haya yote anafanya yann naombeni ushauri.
 
Ndo usharogwa tayari ila hujui tu!.. chakufanya kunywa maji kalale na ufate masharti si umeridhia kuwa bwege! Tulia tu.
 
how kurogwa mkuu fafanua
Tuachane na kurogwa ni lugha tu ya kimzaha.. mkuu niorodheshee tabia zako 10 hapa au pm ili nijue wewe ni mtu wa namna gani na kwanini yanakukuta hayo..
 
how mkuu fafanua
Hauwezi kuamka na kummwambia mkeo akuamini na utarajie akuamini kama unavyotaka.

Kutokukuamini kwake ni kutokana na mlolongo mrefu wa maisha uliyokuwa unamwonyesha hadi kufikie sasa.

Mtu mwaminifu hana haja ya kuwaambja watu wamwamini... tayari imani ipo. Hata hauulizi. Wenyewe watakuambia wewe tunakuamini saana.
 
Kuna pisi moja hivi ni mwezi sasa amenichunia bila maelezo yoyote nadhani file langu la uchunguzi limeshafikishwa mezani kwake, alafu mimi hata siwazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom