Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Habari zenu wakuu..Kwanza kabisa Mimi Ni kijana,mwanafunzi wa chuo Kikuu flani Hapa mjini Dar.nilikuwa na mpenzi wangu ambaye yeye siyo mwanafunzi..Sasa alipata mimba pasipo kutarajia..mimba hiyo anadai kuwa ya kwangu na binafsi nahis Ivo kwa sababu siku ntakutana nae alikuwa siku za hatar..hatukupanga kusex ila niliforce Sana na tukasex na mm nilikuwa nawithdraw wakati wa kukojoa. Sasa baada ya siku kadhaa kupita akawa haoni siku zake na mwishowe ikabidi aende kupima ndipo akaambiwa ana mimba.
Sasa yeye alipojua kuwa ana mimba akapanic akawa anaforce Mimi niende kwao nkajitambulishe na ikibidi nitoe mahali ili kuondoa aibu kwa wazazi wake kuwa amepata mimba bila kuolewa. Na akawa analazimisha Mimi niwaambie home kwa kipindi hicho ambacho mimi nilikuwa field mkoani.. binafsi nkamwambia asubir mpaka nirud dar then nije kwenu Kwanza tujue Cha kufanya kabla sijawaambia home..yeye akawa hataki kuelewa na basi tukawa tutagombana Sana juu ya hilo.
Mwisho wa siku akasema Kama Mimi sieleweki atajua Cha kufanya..nkamuuliza utafanyaje akasema atajua yeye...basi Mimi nkaendelea kumsisitiza kuwa nikirudi ntakuja kwenu..Sasa Kuna siku akanambia kuwa mpaka ntakaporudi ntakuwa nimeshachelewa, nikamuuliza unamaanisha Nini akasema elewa Ivo Ivo.Bas nikiwa namalizia field Kuna siku akanipigia akanambia kuwa Kuna mtu anakuja kwao kujitambulisha na home walipomuuliza kuhusu mimba amesema ya huyo jamaa aliekuja kujitambulisha..
Sasa nikamuuliza kwahiyo umemwambia kuwa una mimba akasema ndiyo na anajua yake..Sasa sijajua kwamba walisex ili huyu binti atengeneze mazingira ya kumsingizia jamaa au vipi.Mpaka navyoandika Hapa huyu binti yupo kwa jamaa wanalea mimba inayodaiwa kuwa Ni yangu...Sasa Mimi Hapo nifanye je wakuu..binti sikuwa na malengo nae Mana dini zetu tofauti na Bora nisingeondoka najua kuwa ana mimba yangu Kama anavyodai isingekuwa tabu ..lakini Sasa najikuta nakosa Raha juu ya hili wakuu..msaada wa mawazo muhim Sana.