Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao.
Ni mwanamke ninayempenda ambaye...
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.
Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua...
Mwanamke amekuwa kiumbe cha ajabu hasa hawa wa kipindi hiki.
Ndugu zangu mnisaidie, sasa nadhani inakuwa ngumu sana kumridhisha. Mke anataka mitazamo yake tuu (yaani uwaze vile anawaza na uwe na...
DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA.
1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti.
2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama.
3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto...
Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba.
Ni kwamba mm nina mke tumeishi...
ITULIZE PESA KWAKO!
IFANYE PESA IKAE KWAKO!
Kama pesa kwako unaipata kwa tabu sana,
kama pesa inaingia na kutoka bila kukaa,
kama pesa haikai kabisa…
Kama unawaazima waatu pesa hawarudishi...
Huku Mbeya tuna family friend ambaye ni kama ndugu, huyu mzee namfahamu kama bamkubwa toka 2008, huyu mzee watoto wake wote wamepiga shule za nje ya nchi na waliosoma hapa bas ni shule nzuri ni...
I’m 32, living in Dar and I’ve reached a point where I value peace, stability and supporting a partner’s ambition over following traditional marriage roles.
I am collage educated with a small...
Ikiwa wale wanaokusudia kuoana hawataki kuwa na mashaka mengi wala kuwa na mambo kadha wa kadha ya kuwanyima furaha baada ya kufunga ndoa, imewalazimu kufikiria vyema na kwa moyo wote juu ya...
Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana...
Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives.
Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa...
Wanaume tunatakiwa kuelewa hata mwanamke mwenye nia njema atataka hela yako. Wanawake pia wanatakiwa kuelewa hata mwanaume mwenye nia njema atataka sex. Ni matrix ambayo hauwezi kuiepuka.
Sio...
Mwanaume ambaye ameacha kazi zake kwa ajili ya kujali mahusiano/mwenza wako huwa anakwenda kupoteza vitu viwili kwa pamoja kwanza anakwenda kumpoteza huyo Mwanamke wake ,kisha anapoteza kazi/ndoto...
Naombeni kujibiwa hili swali tafadhali
Hivi kwanini wanaume mnakuaga na hela zile wiki za mwanzo tu tunapokutana na nyie? Alafu baada ya hapo huwa hatuzionagi tena?
Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko?
Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
Juzi nimemfuma mpenzi wangu na lijamaa linamla nyumbani kwake ni bint ambaye nina mihadi nae kumuoa ni kabint flan hivi karembo ukipita nako mtaani aah kwakweli sijaona wa kufananisha nae...
Habari JamiiForums
Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea.
Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015.
Ni kama juzi tu tangu hayati...
Kwema wakuu
Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi...
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika...