Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana Jf mambo vipi ndugu mko poa nyie mi Niko poa kabisa labda nyie vipi kwenu Ebwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nimepata ujumbe toka kwenye mitandao yangu aisee wananijali sana wamenikumbuka😭...
4 Reactions
17 Replies
717 Views
Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!! Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi. Au niingie mtandao...
14 Reactions
88 Replies
1K Views
35-55 ni kipindi cha kutisha kwa wanaume wengi Unagundua: Marafiki wako wa karibu wanakuwa wako busy na familia zao Marafiki zako wengine wameshakata tamaa na maisha hawaoni kutoboa life tena...
40 Reactions
113 Replies
3K Views
Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao. Ni mwanamke ninayempenda ambaye...
5 Reactions
37 Replies
792 Views
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa. Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua...
10 Reactions
107 Replies
2K Views
Mwanamke amekuwa kiumbe cha ajabu hasa hawa wa kipindi hiki. Ndugu zangu mnisaidie, sasa nadhani inakuwa ngumu sana kumridhisha. Mke anataka mitazamo yake tuu (yaani uwaze vile anawaza na uwe na...
9 Reactions
43 Replies
1K Views
DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA. 1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti. 2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama. 3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto...
2 Reactions
6 Replies
451 Views
Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba. Ni kwamba mm nina mke tumeishi...
6 Reactions
49 Replies
1K Views
ITULIZE PESA KWAKO! IFANYE PESA IKAE KWAKO! Kama pesa kwako unaipata kwa tabu sana, kama pesa inaingia na kutoka bila kukaa, kama pesa haikai kabisa… Kama unawaazima waatu pesa hawarudishi...
4 Reactions
18 Replies
462 Views
Huku Mbeya tuna family friend ambaye ni kama ndugu, huyu mzee namfahamu kama bamkubwa toka 2008, huyu mzee watoto wake wote wamepiga shule za nje ya nchi na waliosoma hapa bas ni shule nzuri ni...
16 Reactions
80 Replies
4K Views
I’m 32, living in Dar and I’ve reached a point where I value peace, stability and supporting a partner’s ambition over following traditional marriage roles. I am collage educated with a small...
11 Reactions
66 Replies
1K Views
Ikiwa wale wanaokusudia kuoana hawataki kuwa na mashaka mengi wala kuwa na mambo kadha wa kadha ya kuwanyima furaha baada ya kufunga ndoa, imewalazimu kufikiria vyema na kwa moyo wote juu ya...
35 Reactions
645 Replies
257K Views
Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana...
3 Reactions
5 Replies
267 Views
Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives. Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa...
40 Reactions
64 Replies
1K Views
Wanaume tunatakiwa kuelewa hata mwanamke mwenye nia njema atataka hela yako. Wanawake pia wanatakiwa kuelewa hata mwanaume mwenye nia njema atataka sex. Ni matrix ambayo hauwezi kuiepuka. Sio...
31 Reactions
80 Replies
3K Views
Mwanaume ambaye ameacha kazi zake kwa ajili ya kujali mahusiano/mwenza wako huwa anakwenda kupoteza vitu viwili kwa pamoja kwanza anakwenda kumpoteza huyo Mwanamke wake ,kisha anapoteza kazi/ndoto...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni kujibiwa hili swali tafadhali Hivi kwanini wanaume mnakuaga na hela zile wiki za mwanzo tu tunapokutana na nyie? Alafu baada ya hapo huwa hatuzionagi tena?
13 Reactions
90 Replies
2K Views
Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko? Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
6 Reactions
31 Replies
709 Views
Juzi nimemfuma mpenzi wangu na lijamaa linamla nyumbani kwake ni bint ambaye nina mihadi nae kumuoa ni kabint flan hivi karembo ukipita nako mtaani aah kwakweli sijaona wa kufananisha nae...
7 Reactions
16 Replies
385 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…