Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kisaikolojia, mwanaume ambaye hapati tendo la ndoa anaweza kuwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na akili na hisia, ingawa kila mtu ni tofauti. Sababu kuu ni za kisaikolojia ni: 1. Shinikizo la...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kesi ya kusuluhisha tumeletewa ya mwanaume ambaye alijua hana uwezo wa kuzalisha kumuoa mkewe bila kumwambia kwamba hana uwezo wa kumpa mmba. Sasa hivi ndoa ina miaka 3, mke alienda...
8 Reactions
122 Replies
5K Views
VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUONGEZA MBEGU (SHAHAWA) 1. KARANGA Karanga ni chanzo kizuri cha protini, zinki na mafuta asilia. Zinki husaidia sana katika: Kuongeza uzalishaji wa mbegu Kuboresha ubora...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Familia nyingi zinasambaratika,watoto wanaachwa bila mama zao na wanabaki na baba yao, chanzo ni nini,athari ni zipi za watoto kulelewa na baba pekee na njia zipi zitumike kunusuru hali hii...
3 Reactions
13 Replies
333 Views
Mapenzi yanawenyewe Unaweza kuwa mwingi, wa mishanga kuijaza Ila usifike kingi, mapenzi ukayaweza Vidogo dogo ni vingi, mwandani kumliwaza Siwadharau wengine, Mapenzi yanawenyewe Unaweza kuwa...
6 Reactions
6 Replies
304 Views
Wakuu, Mwaka 2023 ni mwaka ambao nilifanya ushetani huu, kanisa huwa lina ka chumba ambako kanaweza kutumika kama store! Bwana ee nikapata kimchepuko ambacho nilikisotea kwa muda mrefu geti...
9 Reactions
81 Replies
1K Views
Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
15 Reactions
293 Replies
4K Views
WATU WA BLOOD GROUP O WALIO WENGI Hawa ni watu wenye HASIRA na UBABE sana kwenye maisha yao hawa wwtu WATU WA O Hawa watu nawaita watu hekaheka (masafa) ukikuta O mchovu basi anatakuwa na...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya...
15 Reactions
76 Replies
1K Views
Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,. Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU...
9 Reactions
107 Replies
2K Views
Wakuu! Sababu zipi zilisababisha ukaoa ama ukaolewa? Unawashauri nini vijana ambao bado hawajaoa/kuolewa na wanao kataa ndoa kabisa?
7 Reactions
68 Replies
1K Views
Msaada tafadhari, je ni tatizo?
4 Reactions
31 Replies
714 Views
Wakuu, Yamenitokea, sina furaha kabisa😭😭mtaani kwetu Kuna mdada mzuri kapanga anafanya kazi ktk ofsi fulani. Siku ya kwanza tu kuingia ktk chumba nikachangamkia fursa, nikaenda kupika nae...
12 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu, tangu nimejiunga katika jukwaa hili may 10,2023 nimefanikiwa kufikisha reactions mbalimbali takribani 10,530. Kufikisha reactions takribani 10530 ni hatua ambayo si ya kupuuzwa kwani maoni...
4 Reactions
5 Replies
155 Views
Sijisifii... Nasikitika tu kuwa nimekuwa na tabia mbaya sana. Nimetembea na zaidi ya wanawake 150. Hao ni ambao nimewakumbuka. Nimeona maumbile ya aina tofaut tofaut. Kuna ambao ni flat, kuna...
4 Reactions
44 Replies
760 Views
Hebu njoen Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana Ananipa kila kitu nnachotaka Nakatazwa kutoka nje hata...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi...
13 Reactions
34 Replies
756 Views
✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe. Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima. Kilichoniuma zaidi ni...
13 Reactions
157 Replies
4K Views
Wakuu, Mimi sina muda maalumu,sikati tamaa,utanizungusha weee nipo nawe tu mpaka pale takapohakikisha kuwa hunipendi. Imenichukua miezi 8 mpaka kuja kumlamba binti jumapili iliyopita. Vipi kwa...
3 Reactions
12 Replies
163 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…