Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, nipokeeni kijana wenu nimekuja na id yangu ya muda mrefu iliyonitambulisha humu jukwaani. Naombeni ushirikiano wenu wakubwa kwa wadogo zangu. Binti wa zamani na Mallerina shukrani kubwa...
6 Reactions
27 Replies
325 Views
Ni mechi ya maamuzi hii.
1 Reactions
7 Replies
153 Views
Narudis Hakuna kitu kinaondosha baraka ya pesa kama zinaa na pombee Ukishapataa tu ukaanza kuinunulia Malaya kuinunulia Pombe hata ukiitolea sadaka ya kujimaliza. Kitaumanaa tu Namaanisha...
12 Reactions
81 Replies
1K Views
Attracting a high-quality mate isn’t about luck or beauty – it’s about the behaviors you exhibit. Certain actions can drive the right people away, while others act like a magnet, pulling them in...
6 Reactions
4 Replies
975 Views
Are you feeling unlucky in love? The truth is that luck in love is no mere roll of the dice; it’s about making intentional choices that can shape your romantic destiny. While many different...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Habari, Naomba ushauri wenu moyo unauma sana. Nipo kwenye mahusiano ya mbali (LDR) kwa miezi minane sasa. Nampenda sana huyu mwanaume, kiasi kwamba muda mwingi nautumia kusali, kufunga na...
6 Reactions
– Replies
– Views
1: Je, kuna mtu aliyewahi kukupenda kwa dhati… lakini ulimpoteza kwa sababu zako? 2. Je, unaishi maisha unayotaka… au maisha unayolazimika kuishi? 3. Kama ungepewa nafasi ya kuanza maisha upya...
4 Reactions
11 Replies
378 Views
Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee...
21 Reactions
53 Replies
988 Views
hakuna uhuru. kushikiwa mtoto asie wako. kuletewa magonjwa ya zinaa.. kuchapiwa/kugongewa pindi unapoyumba kiuchumu. Ugomvi kila siku hakuna maelewano ndani ya nyumba. Dharau kibao.
9 Reactions
57 Replies
889 Views
Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
9 Reactions
74 Replies
2K Views
Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia. Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza...
15 Reactions
50 Replies
1K Views
Mwanaume ni kiumbe ambaye ni raising kumteka kimapenzi. Na ndio maana matukio ya Wanaume kupotea na kukutwa kafungiwa ndani kwa mwanamke fulani ni mengi, ilibidi hata Mbosso aandike nyimbo ya...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ulifanya nini ili kulipiza kisasi baada ya kuachana na ex wako 🤔
3 Reactions
71 Replies
2K Views
Times have really changed. Huko nyuma ikitokea baba/mama akawa na mchepuko basi alikuwa infanyika siri kubwa na michepuko walikuwa treated kwa nafasi ya makahaba waliochangamka. Lakini michepuko...
6 Reactions
8 Replies
394 Views
Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana! Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33: Nitamuita nimuulize hizi habari ni...
4 Reactions
31 Replies
652 Views
Mpendwa Umuhimu wa Mume/Mke Uonekana Pale atakapojiondoa Maishani Mwako Wewe Unaemzalau !Hila kumbuka Leo unae wewe Lakini Yupo Mtu atampa heshima kesho,Nakuomba Mthamini Sana Uliekua nae Kwa...
5 Reactions
9 Replies
358 Views
Ukweli usiopingika ni kuwa huyo binti yako wa miaka 13 hadi 17 uliyenae hapo nyumbani kwako,unayefikiria ni mwaminifu sana na hawezi kuwa ameshajua mapenzi basi utakuwa unajidanganya mwenyewe...
2 Reactions
6 Replies
213 Views
Kisaikolojia, mwanaume ambaye hapati tendo la ndoa anaweza kuwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na akili na hisia, ingawa kila mtu ni tofauti. Sababu kuu ni za kisaikolojia ni: 1. Shinikizo la...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kesi ya kusuluhisha tumeletewa ya mwanaume ambaye alijua hana uwezo wa kuzalisha kumuoa mkewe bila kumwambia kwamba hana uwezo wa kumpa mmba. Sasa hivi ndoa ina miaka 3, mke alienda...
8 Reactions
122 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…