When some Women turn 40 or 50 years, something major shifts in their personality .
They become bolder, more rebellious , more religious, more focused , more opinionated and more emphatic about...
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata...
Habari wadau
Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa.
Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba...
Kuna msemo usemao kuna baraka huwezi kuzipata ukiwa katika mahusiano ila ukishaoa milango ndiyo inaanza kufunguka na kimaisha inakuwa ndio hatua yako ya kwanza kutoka kimaisha
Je, ni kweli...
Yaani nimejikalia hapa ghafla tuu nimeingiwa na tamaa ya kupendezaaaa๐ ๐๐๐๐๐ ๐
Halafu nikiwa natamani baba chanja aingiwe na hii tamaa ya kunipendezesha nikakutana na shekhe mwenye nasaha zake๐๐๐...
Rafiki yangu alikwenda kusaidia nyumbani kwa mtoto wake wa kiume. Hawakuwa na msichana wa kazi hivyo mtoto wake ambae ndiye mume alimuomba aende mjini kwa muda.
Ameishi miezi mitatu, mama mke...
Kuna baadhi ya wamama wanasikitisha sana. Ukikuta ana binti mzuri mzuri humfanya kitega uchumi. Binti ndio mwenye sauti hapo nyumbani maana yeye ndio provider wa kila kitu. Binti hana kazi ya...
Ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Hivi karibuni nimemshuhudia kwa macho yangu mama mtu mzima (ovyo) 'akimuuza' binti yake kwa mwanaume. Na kibaya zaidi, kitendo hicho kimefanyikia nyumbani...
Nimekuwa na Jamaa ya ambaye tumeishi wote toka shule ya Msingi , mpaka sekondari. Kwanzia kidato cha tano ndipo mtengano ulipotokea baina yetu kwa kuwa tulipangwa shule tofauti , lakini uswahiba...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote)
Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu...
Wakuu mimi ni miongoni mwa binadamu nilielelewa kwenye mikono ya MAMA wa kambo. MAMA yangu yule nathubutu kusema alikuwa zaidi ya MAMA wakunizaa, ni MAMA alienipigania na kunilea katika misingi na...
Nina matukio kadhaa ya namba hii, imekuwa ni kama hulka sasa kwangu.
Ni muda kidogo umepita, nikikuwa nina mshkaj flan ivi, mtoto wa kihaya. Mzuri n bonge la shep ila ni mwembamba. Alikuwa...
Hadi leo naona kama ndoto.............!
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1991 wakati huo nikiwa nafanya kazi kwa mtu binafsi, Muasia mmoja.
Nakumbuka katika mojawapo ya majukumu yangu, nililazimika...
Habari wakuu,
Mimi toka nifanye mapenzi leo nimekutana na kitu cha tofauti msitu siyo msitu ila wenye kivuli cha tofauti.
Kuna ka mdada na siku kama nne na katongoza, kamemaliza form six mwaka...
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.
Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri...
Wakuu leo nimeenda kupanga foleni ya kuchukua chakula cha bure kinachotolewa na mamlaka za jijini hapa kwa ajili ya wahamiaji, nimeona haiwezekani na ni ujinga mwarabu na raia wa ulaya akapange...
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.
Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza...
Nikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku-experience.
Ilikua ndo mara yangu ya kwanza. Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali...
Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia.
Ni kifaa...
Ingawa baadhi yetu twaweza kuleta ubishi juu ya hili lakini ni ukweli unaowakuta zaidi ya asilimia 80 kama sio 90 ya Wanandoa wamejikuta wameoana kutokana na sababu moja au nyingine, wengi ikiwa...