Je, inawezekana mwanaume kutoka kimaisha kupitia ndoa?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kuna msemo usemao kuna baraka huwezi kuzipata ukiwa katika mahusiano ila ukishaoa milango ndiyo inaanza kufunguka na kimaisha inakuwa ndio hatua yako ya kwanza kutoka kimaisha

Je, ni kweli kupitia ndoa unaweza kutoka kimaisha hebu tusaidiane kama ndio kivipi?
 
Ndoa ni taasisi takatifu (A Sacred Institution) na hili ndio kusudio la Mungu kwetu sisi wanadamu.

Ndoa inaweza kuwa paradiso au kaburi la furaha yako for the rest of your life.

NB: Mwanamke hata awe na pesa nyingi kiasi gani, jukumu la kutunza familia ni la baba. Ukiona mwanamke amenunua LUKU ya 20,000/= ujue amekusaidia tu lakini sio wajibu wake.
 
Kuna msemo usemao kuna baraka huwezi kuzipata ukiwa katika mahusiano ila ukishaoa milango ndiyo inaanza kufunguka na kimaisha inakuwa ndio hatua yako ya kwanza kutoka kimaisha
Lisemwalo lipo...
 
Kwa uzoefu wangu ni kweli.

Lakini ingia kwenye ndoa kwa lengo la kujisitiri na kutunza heshima yako na kuepuka machafu,hayo mengine yatakuja tu.

Ila ukiingia kwa lengo la kutaka mali na unafuu wa maisha utakuta mambo hayaendi.

Hizo ni faida za ziada anazopata mtu kwenye ndoa,lakini faida kuu ni kuanzisha mahusiano mazuri na kuwa na familia njema huku ukiepuka zinaa.

Nimeoa,mkwe wangu ni mtu wa mjini sana anajuana na watu,mkwe wangu kanikubali kanipa connection kadhaa,nafanya nae biashara wakati ambapo sidhani kama ningefanya biashara hzo bila kumuoa binti yake.

Nilipata connection moja kutoka kwa baba mkwe ya kununua eneo sehemu fulani kwa bei ambayo ningekuwa mimi kama mimi ningenunua kwa pesa ndefu sana.

Haya yote nimeyapata kwenye ndoa.

Kiufupi ndoa ni sehemu ya kukuza connection hapa mjini,angalia tu usioe ikiwa lengo kuu ni kutafuta mali au unafuu wa maisha.
 
Ahsante kwa muongozo huu mkuu
 
simply mtafute awe na moja ya sifa zifuatazo
....mtoto wa kishua
.....shuga mamy
.....single momy anaekupendaa tu na sio yule anetaka umfichie aibu ya ndoa ama tamaa zake
......mwanamke mchapa kaz ama mchakarikaj
yaan ukipata mmoja wa hawa wew kutoboa kimaisha ni simple saaan na hutojutia ndoa, na hata ukiachana na huyu ukiwa na akili za maisha lazma utaondoka na kitu kitakachokuimarisha maisha yako.

kwa mtoto wa kishua hapo najua wengi mnajua kuwa hakuna haja ya kujieleza sana kama mtot kakuelewa na kakukubal kwa mapunguf yako na hal yako bas jua tu atakusaidia kwa kila kitu, chamsing ww unatakiwa ni kum respect na kumuonesha mapenz yaliyoambatana na show yakibabee ili uzid kumteka, hapo lzma akugande na mali za ukoo wao akuandikishe wew mmiliki.
kwa mashuga mamy hakuna haja sana yakueleza maana wote mnajua mashuga mama wanavyojua kutunza, sasa hapa ushindwe wew tuu kuwa mtunzaji wakile unachopewa kukifanya faida ya baadae.

kwa mwanamke single mama anaejielewa napo hapa ukimpata hesabu kuwa ushatoboa maana weng wao wanakuwa wameshakomaa akili na kujikit katk mambo ya maana, so ukimpa heshma yake nazan utaenjoy.

kwa huyu mwanamke mchapaka kaz hapa hesabu umeokota APPLE jangwan, maana kwa lidunia letu la leo kupat hawa wanawake wa dizaini hii ni bahat saana tena saana inaweza kuwa mmoja kati ya maelfu, hao wengine wote wanapenda mserereko kutoka kwa mwanaume, yaani wanataka mwanaume mwenye pesa wamchuneee weeeeeeeeeeee adi achunike then wanamkimbia nakwenda kuanzisha kambi yao ya MALKIA WA NGUVU ama WANAWAKE WA 50/50, mbaya sana hiyo,..
unachotakiwa kujua ni kuwa kumpata mwanamke akupendae sio njia ya kupata mafanikio,,kumpata mwanamke mcha Mungu na Mwenye hofu ya Mungu sio kigezo cha kufanikiwa, maana ingekua hivo bas walokole wote tungewaona na V8 mitaan wakikatisha kwenda kwenye mikesha ya maomb, badara yake, wao ndio huongoza kwa kulia na kuvumilia mateso ya ndoa japo hawatangazi nje,...tafuta mwanamke mwenye future, mchapakaz hata aspokupenda mpende wew, play your part na umlazmishe akupende, aspokupenda just take the benefits from her and move on to start your smart life,,
.....THANKS.....
 
Ndoa ni taasisi takatifu (A Sacred Institution) na hili ndio kusudio la Mungu kwetu sisi wanadamu.

Ndoa inaweza kuwa paradiso au kaburi la furaha yako for the rest of your life.

NB: Mwanamke hata awe na pesa nyingi kiasi gani, jukumu la kutunza familia ni la baba. Ukiona mwanamke amenunua LUKU ya 20,000/= ujue amekusaidia tu lakini sio wajibu wake.
Natamani kusema neno, ila kwa kua kaka mkubwa umesema ngoja niache

Mkubwa akosei.....
 
Ndoa ni taasisi takatifu (A Sacred Institution) na hili ndio kusudio la Mungu kwetu sisi wanadamu.

Ndoa inaweza kuwa paradiso au kaburi la furaha yako for the rest of your life.

NB: Mwanamke hata awe na pesa nyingi kiasi gani, jukumu la kutunza familia ni la baba. Ukiona mwanamke amenunua LUKU ya 20,000/= ujue amekusaidia tu lakini sio wajibu wake.
U nailed it. Anayetaka kuoa achukue ushauri huu.
Ukielewa hapa basi ndoa haiwezi kukupa stress kamwe.
 
Back
Top Bottom