Weekend imefika wababa hebu tupelekeni madukani tukapendeze sie

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,760
35,205
Yaani nimejikalia hapa ghafla tuu nimeingiwa na tamaa ya kupendezaaaa๐Ÿ’…๐Ÿ‘—๐Ÿ’„๐Ÿ‘™๐Ÿ‘š๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘›

Halafu nikiwa natamani baba chanja aingiwe na hii tamaa ya kunipendezesha nikakutana na shekhe mwenye nasaha zake๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Mungu akubariki sana shekhe
 
Si mnasema haki sawa?jipendezesheni wenyewe halafu tukutane kwenye 6 kwa 6 tupambane๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Binafsi na wenzangu wenye maoni kama yangu tulishakataa haki sawa sababu yapo yasiyowezekana

Lala unono Stanboy

Kesho umpeleke wifi kwa ๐Ÿ‘œ๐Ÿ‘—๐Ÿ’„๐Ÿ’…๐Ÿ‘™๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Binafsi na wenzangu wenye maoni kama yangu tulishakataa haki sawa sababu yapo yasiyowezekana

Lala unono Stanboy

Kesho umpeleke wifi kwa ๐Ÿ‘œ๐Ÿ‘—๐Ÿ’„๐Ÿ’…๐Ÿ‘™๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Aisee una akili sana,nakuunga mkono hakuna haki sawa duniani labda huko mbinguni itakuwepo..

Bahati mbaya sana sijaoa mshikaji wangu nasoma upepo wa mama Samia kwanza halafu nifanye maamuzi.
 
Aisee una akili sana,nakuunga mkono hakuna haki sawa duniani labda huko mbinguni itakuwepo..

Bahati mbaya sana sijaoa mshikaji wangu nasoma upepo wa mama Samia kwanza halafu nifanye maamuzi.

Upepo wa mama Samia hauna shida kwenye ndoa
Wewe oa tuu Stanboy
 
Back
Top Bottom