GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Hali kwa sasa imekuwa mbaya sana hasa kwa sisi ambao tunazunguka mitaa mbalimbali town na mitaani sometime unakutana na majaribu makubwa kushinda hata ya ayubu.
uvaaji wa dada zetu siku hizi unazidi kuwa mbaya. wakati mwingine unajiuliza ni kweli wana nia ya kuvaa au walitaman wawe wanatembea tu uchi? hapo hujatembelea facebook na insta...ni balaa kubwa sana. why? kwa nini? lengo lako bidada ni nini?kuliamsha dude? halafu iweje?
unaweka picha ya kutega halafu unabinua kiuno na midomo unaweka kama unapuliza moto au unanyonya ice cream za miaka ile ya 90 tukiwa shule. hii ina maana unatangaza biashara gani. halafu mtu akikudokezea unakuja juu eti wewe nke wa ntu. sasa kama mke wa mtu kwa nini ukaliamshe dude la mwanaume mwingine?
angalia picha za wanawake walio humu jamii forums. wameweka picha kwenye profile zao za wanawake ambao nao si haba..mashallaaah kwa makusudi kabisa lengo ni nini? kwa nini usiweke picha ya mwanamke aliyevaa kwa staha? huu nao ni aina ya ulimbukeni. halafu kutwa kucha mnasema wanaume wana wanyanyasa. kumbe mnajinyanyasa na kujidhalilisha wenyewe.
wito wangu. msiyaamshe madude yasiyo wahusu au usiliamshe dude wakati huwezi lituliza likarudi usingizini. kwan wahenga walisema "alalaye usimwamshe......"