kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,546
- 1,659
Jamani mwenzenu nimeamua kukaa kimya mana najihisi kama jukumu la kupenda nimelibeba mwenyewe mwenzangu cmuelewi cku hz nimejarbu kumvumilia ss nimeshndwa leo cku ya 3 no call no sms nik2ma hajibu nikipga hapokei kisa nimemuuliza alikwenda wapi baada ya kutoka ofcn kwake tatzo hl limekua likijiludialudia jamani je nimefanya kosa kukaa kimya?