Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baby mama culture a threat to marriage institution? SUNDAY OCTOBER 24 2021 Social media and appealing internet phots such as these “mommy-and-me” photos tend to glamourise the baby mama trend...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne. Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu. Mama Agness...
25 Reactions
120 Replies
15K Views
1. Mtoto mtulivu, mkarimu Huyu ni mtoto anayewaamini wazazi na watu wanaomzunguka. Utulivu wake unasababishwa na kujiona yu katika mazingira salama na hivyo hana wasiwasi. Kutokuwa na wasiwasi...
11 Reactions
19 Replies
6K Views
Hivi kwanini wanaume hua mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu? Japo biblical sijaona andiko linalosema wanawake ni kiumbe dhaifu?!!
2 Reactions
104 Replies
8K Views
Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakuna Safari ngumu katika maisha kama Safari ya mahusiano maana kuna kipindi kipindi mahusiano yako na mpenzi wako yanakuwa ya furaha kuna kipindi mahusiano hayukupi furaha...... Lakini pia...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Aisee wakuu, kuna mdada nadate nae ila sasa nimeanza kumchoka, saivi tuna takriban miezi 7. ila kila week lazima nilale nae ata mara 4 au zaidi ila saiv nmemchoka, maana nikimpga bao moja nakua...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
.
16 Reactions
268 Replies
14K Views
Wakuu habari, Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe? Ni hivi, kijana hana uwezo...
8 Reactions
137 Replies
11K Views
Hapa mtaani kuna madoni kama watatu. Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja. Doni wa pili alipata mke...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!! Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!! Na...
33 Reactions
264 Replies
22K Views
Habari zenu wakuu. Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao. Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake...
14 Reactions
80 Replies
9K Views
Nikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi) Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni...
10 Reactions
148 Replies
24K Views
Kwema wakuu? Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje...
12 Reactions
87 Replies
7K Views
Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa Walimu wawili nchini Uingereza wako kwenye hatari ya kupoteza kazi zao baada ya video yao waliyoitengeneza wakati wakiepeana uroda nyumbani kwao...
0 Reactions
3 Replies
15K Views
Maisha ya mtanzania wa kawaida yamekua na mzunguko unaoelekeana sana. Anazaliwa, anakua, anasoma, anapata kazi/biashara, anaoa (anaanza kulalamika majukumu mengi ya familia, anahangaika na kipato...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna watu wanapitia mateso mpk anasachi hivi Google..🤣
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii tabia ya wake za watu kukutana vijana na kukana kua hawajaolewa sio vzuri, nyie wanawake mna matatizo gani, Binafisi mimi siwezi kulala na mke wa mtu kama najua kaolewa ata uwe mrembo kiasi...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Sisi binadamu huwa tunajisahau kushukuru pale tunapotendewa mambo makubwa na watu fulani, tukiamini ilikuwa ni haki yako kutendewa vile. Wapo wanaojengewa nyumba au kupewa maisha mazuri na watu...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom