Msaada tafadhali mpenzi wangu simuelewi

Habari za wakati huu wakuu ,moja kwa moja niende kwenye jambo linalontatiza, nna mpenz wangu mwanachuo kila ikikaribia likizo arudi kwao ataki tufanye mapenz kwa sababu ambazo binafsi sidhani kama huwa ipo ivo . Ananiambia hawezi/hataki kwa sababu akifanya mapenzi siku mbili kabla ya kwenda kwao akifika mama yake atajua kilichofanyika .Sijui kama kuna ukweli juu ya hili wakuu au ndio napigwa chenga ya mwili.?? Nifanyaje kuibadilisha hii hali nmeshajaribu kumuelewesha bado hanielewi..nifanyaje wakuu???

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazma hiyo kitu mm mnaniudhi wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka zingatia bandiko lako la mwezi wa tisa mwaka jana kabla sijakushauri chochote..


KAKA ZANGU Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu
DADA ZANGUMwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu.....
ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom