Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake? Yaani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakuwa nimechoka sometimes.
Nifanyaje...
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza...
1. Ukiona mpenzi wako ni mgumu kuomba msamaha pale unapoona anakosea
2. Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kukuza mambo yaani vitu vidogo anavifanya vikubwa
3. Ukiona mpenzi wako ana tabia...
Habari wana jamvi
Moja kwa moja kwenye mada
Mara nyingi sisi vijana tunapotafuta wenzi wa maisha maigizo huwa mengi sana hatuuishi uhalisia wa maisha yetu. Kuna misemo eti "mwanamke...
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia...
Penzi ni makubaliano baina ya watu wawili walioamua kuacha kila kitu na kuwekana moyoni lakini sio mara zote unayempenda na wewe akupende swali linabaki utajuaje kama uliyenaye anakupenda, leo...
Ukizungumza unyanyasaji wa kijinsia wengi huwaza wa upande mmoja, kwamba ni dhidi ya mwanamke lakini uhalisia ni tofauti kwani hata wanaume hunyanyaswa isipokuwa si wepesi kuzungumza.
Hayo...
Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani...
Boys ..
Yupi we una mfeel sana just be honest
Mwenye kalio kubwa sura mbaya au ya kawaida tu..au yule hana kalio (pasi)ila sura nzuri
Girls
Yupi we unampenda sana?
Kapuku ila anajua kufanya...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimekua kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa takribani miaka nane, tumeishi kwa upendo saana, kila mtu alikua anaguswa na shida ya mwenzie pindi jambo...
Nina mdada ambaye nimetokea kumpenda sana kiukweli huyu dada nampenda sio kidogo
Nimekua nikimwambia mara kwa mara lakini yeye anachukulia kama mzaha wakati mwingine anakua kama anaeleweka wakati...
Nilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili.
Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri...
Hello wana jf mi ni mwanadada mfanyakazi serikalini sijawahi kuwa na mtoto! Naombeni ushauri wenu nilikuwa na mahusiano na mkaka akanitolea mahali na tulipanga tarehe ya harusi mwaka jana...
Hello guys pole na majukumu,
niseme kilichonifanya kuandaa uzi bila kuchelewa ni kwamba kuna mdada nimpachike jina la Na!,ni mrembo kiasi japo si kivileee, Miaka kama miwili sasa imepita nilikuwa...
Wanajamvi habarini na poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nianze kwa kuwapa kongole wazazi wote wanaotambua wajibu wao wa malezi kwa watoto wao mungu awabariki. Pili nijikite katika mada kwa...
Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi.
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha.
Nimeamua kumwimbia huu wimbo...
Jamani ndoa ngumu sana. Mfano umeolewa/umeoa halafu ikatokea siku umetoka zako mishe umefika home halafu ukapitiliza bafuni kuoga, inakuwa nongwa. Tena nongwa kweli kweli.
Kwanini??
Shout out...
Linapokuja suala la mapenzi haijalishi mwanamke ana uzuri kiasi gani nikimtongoza akianza kuniringia ringia naaghairisha kuendelea kumfutilia
Nawaza mtu ambae atatoka kwao au kwake kwa pesa...
Salaam wapendwa!
Bado sielewi nasikia tu makelele humu kila mara eti "Pisi kali"pisi kali imekuwa ndio habari ya jf lakini mie kila nikitafakari nashindwa kudadavua "U"pisi kali unatokana na...
2020-10-25 12:04:40
Even Trevor Noah said he was willing to put a stake that South Africa has the most beautiful woman in the world. But now that he is in New York I wonder is he still share the...