Bado sielewi...

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,014
1,498
Salaam wapendwa!
Bado sielewi nasikia tu makelele humu kila mara eti "Pisi kali"pisi kali imekuwa ndio habari ya jf lakini mie kila nikitafakari nashindwa kudadavua "U"pisi kali unatokana na nini!? Je,unapatikanaje!? Je, upisi kali ni urembo!?au ni umbile la asili!? Ninavyojua mimi uzuri wa kimaumbile mtu anazaliwa nao (nature beauty)na urembo ni jitihada ya mwanaadamu (mwanamke)kujiremba ama kujipamba kwa kutumia vikorombwezo (artifitional)ili apendeze na kuvutia, Ndio niseme kwamba mwanamke anawezakuwa mzuri wa umbo lakini asiwe mrembo kadhalika anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri wa umbo.ndio nauliza "U"pisi kali unatokana na nini!? Hebu tuwasaidieni dada zetu ikiwezekana wote waupate "U"pisi kali jamani, kuna wanaonyanyasika mjue!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom