Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania. Naipenda sana nchi yangu na siko...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari. Kichwa cha uzi ni maneno ya mstari mmoja wa nyimbo ya Ngwair ft Mwana FA & Lady Jaydee unaenda kwa jina la Sikiliza ambayo ilitoka miaka ya nyuma ila kama umetoka jana. Leo...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Vipi imewahi kukutokea hii, yani ulikuwa unampenda sana mtu Then hakukuoa/hakuolewa na yeye. Akaja akaoa/akaolewa na Mwingine kabisa? Kuna vitu vinaumiza sana sio siri.
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Nani ni kama mm ambaye aliempenda mtu kwa dhati tena upendo wa KIMUNGU ambao hauwangalii sura , rangi, tabia ,kabila, na hata pesa lkn pamoja na upendo wote ulionyesha kwake yy anachukulia easy...
4 Reactions
85 Replies
5K Views
Members, Mimi ni baba wa familia yenye watoto watatu. Mimi na mke wangu tunapendana na kuenjoy sex life as usual. Ila nimeingia kwenye mtego wa penzi la mdada Mmoja. Yaani hilo penzi ni hatari...
9 Reactions
116 Replies
8K Views
Habari wakuu.. Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje. mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Salaam wadau & wadada wa Jamiiforums Kwakwel wadada mumetuharibia kabisa maana halis ya mapenzi Ngono tofaut kbs na mapenzi, Mapenzi ni bora zaid ya Ngono Yani neno I love you sik hiz unajua...
11 Reactions
70 Replies
5K Views
Yaani naonekana mimi mbaya kwa kukataa mke wangu kwenda Machame? Nilileta nyuzi juzi kati hapa, na ninavyoandika hapa wife yupo Masasi anarudi Jumatano. Sasa kuna kaka zake wamenipigia simu...
37 Reactions
167 Replies
11K Views
Wakuu pole na majukumu... Kama mada inavyosema hapo " hamna mwanaume mwenye kibamia" Baada ya kuona hii trend ya dada zetu kujiingizia vitu huko sehemu zao vitu kama chupa za soda wengine chupa...
24 Reactions
43 Replies
5K Views
1. Katika mahusiano epuka kufanya investment yeyote kwa mpenzi wako ambae hujamuoa au kuolewa au Hamjapata mtoto 2. Epuka kumtambulisha mpenzi wako kwa ndugu au marafiki mpka ikitokea siku umempa...
15 Reactions
51 Replies
8K Views
Happ belated new year esteemed members of JF. Hope all is well with you and your family. As the title says hereinabove, let's mention at least five things which disappointed you in your...
1 Reactions
15 Replies
996 Views
Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Mtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila kitu kwa maisha yako ya hapo baadae. Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza...
7 Reactions
117 Replies
19K Views
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo KIUFUPI Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila...
17 Reactions
96 Replies
7K Views
Wakuu habari za Leo! This is true story. Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja...
9 Reactions
61 Replies
6K Views
Tembea mkoa wowote, wanawake 98% utakaokutana nao wana uzuri wa dukani, aidha wana kasoro kwenye nywele au kichwa kibaya (chogo na komwe), hivyo huvaa mawigi (weaving) ili kujinusuru na aibu...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari ya usiku huu. Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja. Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika...
11 Reactions
251 Replies
14K Views
Umeumizwa? je umeumizwaje Ume-enjoy? kivipi. Umeacha au kuachwa? Binafsi huu mwaka umekuwa mzuri kwangu nime-enjoy sana, baby amenituza, amenipa mapenzi Kama yote, naomba na 2022 huwe ivyo...
18 Reactions
188 Replies
12K Views
Habari wadau? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu...
2 Reactions
79 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…