Kuolewa sio lazima, japo inaongeza heshima

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,565
188,766
Habari.

Kichwa cha uzi ni maneno ya mstari mmoja wa nyimbo ya Ngwair ft Mwana FA & Lady Jaydee unaenda kwa jina la Sikiliza ambayo ilitoka miaka ya nyuma ila kama umetoka jana.

Leo nimewakumbusha kwa wote watakao hitaji kukumbushwa sina mengi zaidi ya hayo maneno ya binamu. (Mwana FA)

"Wenye upeo mdogo ndo daima wanakuwa vicheche kuolewa sio lazima japo inaongeza heshima ina hadhi yake, hawatajali mke wa kigogo au wamkulima"

Ongeza pia mistari ya huyu binamu (Mwana-FA) alimalizia kwa kuhitimisha na mistari hii:-

"Na ole wenu msiopenda kutafuta vyenu mnatamani tu vya wenzenu ndio maana huwa mnamegwa na wazee umri wa babu zenu"
Niamini, Binamu

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu.
 
Vijijini asilimia 90% wengi wao maskini starehe yao ni pombe na nyinyi axa kwanini Mnadharaulika na kunyanyasiki!? Au nyie wenyew mmeridhaka!..?#NGWEAR

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hahaha

"Mi mwenyewe naenda club kila wiki,
Haina maana hua nafata tu music,
Mkiwa wachache napaona hapalipi,
Hata niwe na hela vipi na lundo la marafiki,
Sema tu wengi wenu ni vicheche japo sio wote Ila...."
 
Habari.

Kichwa cha uzi ni maneno ya mstari mmoja wa nyimbo ya Ngwair ft Mwana FA & Lady Jaydee unaenda kwa jina la Sikiliza ambayo ilitoka miaka ya nyuma ila kama umetoka jana.

Leo nimewakumbusha kwa wote watakao hitaji kukumbushwa sina mengi zaidi ya hayo maneno ya binamu. (Mwana FA)

"Wenye upeo mdogo ndo daima wanakuwa vicheche kuolewa sio lazima japo inaongeza heshima ina hadhi yake, hawatajali mke wa kigogo au wamkulima"

Ongeza pia mistari ya huyu binamu (Mwana-FA) alimalizia kwa kuhitimisha na mistari hii:-

"Na ole wenu msiopenda kutafuta vyenu mnatamani tu vya wenzenu ndio maana huwa mnamegwa na wazee umri wa babu zenu"
Niamini, Binamu

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu.
Aliongezea kwa kusema mnamegwa harafu mnaishia kuachwa
 
Ndio maana kabla ya hiyo mistari alianza na hii mistari. Ngwair aliona vyote hivo.

sina nia ya kubadili maadili (siyo)
ninacho pinga nyie kushikwa masikio
sema tu hamjui umuhimu wenu, ila leo nita waambia tu ila iwe siri yenu
Hii mistari inahamasisha kudanga ifutwe haraka
 
Dear women ndoa sio mafanikio, kuna wengi wanakonda maana ndoa zao sio.../

Ndoa ni mwiba usijivune, ukiipata niamini unaweza kukamilika bila mume.../

Dada baki shule bila elimu utateseka, kutegemea urembo ipo siku utazeeka.../

Kama ukiweka mwili wako hisani, ukizeeka tutajali unalichonacho kichwani.../

Skiza hata wanaume tuna doubt tu, in this world does revolve around you.../

Tuna stress zinatufunga na tena, kazi zetu ni ngumu na ndio maana tunakufa mapema.../

Kama unahisi upo huru umepotoka, huwezi kuwa huru wakati umelipiwa posa.../
 
Back
Top Bottom