Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Wakuu nimemvumilia nimeshindwa mimi na moja ya tabia ambazo nimeshindwa kuzivumilia ni hizi Shemeji ananifuatilia kana kwamba nimemuoa yeye kuna sikunimetoka zangu mihangaiko narudi zangu home...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna siku nilikuwa ugenini, baada ya mishe zangu nikawa nimerudi hotelini; kutokana na upweke niliokuwa nao, nikaona bora nitafute mdada wa kuniweka bize. Ikabidi nizame kwenye huduma ya 'online'...
11 Reactions
65 Replies
7K Views
Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna stori moja niliileta hapa, kuhusu dada mmoja alikuwa mpenzi wangu (mchepuko), alifumaniwa na mumewe kwa njia ya simu akiwa faragha na jamaa mwingine. Ambapo, alipokuwa faragha simu yake...
15 Reactions
87 Replies
7K Views
Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu...
15 Reactions
70 Replies
8K Views
Hapa nilipo na mawazo mengi sana nimeona niletee humu jukwaani kidogo mnisaidie angalau kwa usahuri na mawazo wakuu. Kuna msichana niko naye kwenye mahusiano ni mwaka wa pili sasa, tunapendana...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Natafuta marafiki wawe HIV positive, umri miaka 28- 35, elimu angalau form six ,mm ni msichana mtanzania nimegundua naishi na virusi vya ukimwi, nipo Kilimanjaro, ni mwajiriwa,nilimaliza kidato...
9 Reactions
21 Replies
17K Views
Sina usingizi natafuta marafiki wa kuchat nao Wanaume au wanawake walio single Age 40 to 100 Kwa week hii tu lakini Kama unaitaji ushauri wa maisha,biashara,kiroho,kimahusiano.niko free kusaidia 24/7
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari!, natafuta mke nipo Tanga. taarifa zangu kwa ufupi umri: 26yrs Dini: muislamu elimu: Degree Education(science) mrefu kidogo, maji ya kunde sifa za mke muislamu asizidi miaka 26 elimu...
3 Reactions
6 Replies
903 Views
Hizi kazi za ukinyozi zina tabu sana, Nilikuwa nishamzoesha kumnyoa kila anapoitaji huduma ya kunyolewa. Ni muda nilikuwa sijamtekelezea huduma yake baada ya kubanwa na majukumu mengine ya...
2 Reactions
15 Replies
44K Views
Tangu tuachane na mpenzi wangu wa kinyaturu johari namtafuta kwa kumpigia simu hapatikani hewani. Ni miezi miwili sasa hapatikani. Nini kimemkuta Johari wangu huko singida jamani, aliyeko singida...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wadau, kwa aliyepo Bagamoyo tujuane nipo Empire bar hapa. Turudi kwenye mada yawezekana ni ushamba wangu au umri umenitupa mkono, ila naomba kujuzwa hivi mnaonyonyana ndimi huwa mnasikia...
18 Reactions
638 Replies
40K Views
Wakuu hapa majuzi kati wakati natoka job naelekea hom majilan fulani hivi ya jion nipo zangu kwa miguu Mara Kigari kikanipigia honi na kusimama kikitoa ishara niende Basi nikasogelea hadi hapo...
14 Reactions
111 Replies
10K Views
Hellow Ladies ( duuh kingereza si mchezo ni salamu tuu hadi nimesikia njaa). Basi Leo wana jf wenzangu nikiamini kila mtu ni 18+ , tuwekane sawa baadhi ya vitu. Hivi kwa nini wadada siku...
19 Reactions
61 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha. Kwa kweli naumia sana tafadhali...
10 Reactions
88 Replies
6K Views
Habari za muda huu wadau? Hongereni kwa mfungo na Allah ajaalie uwe ni wenye manufaa. Miaka mitatu na na miezi mitatu iliyopita nilijaaliwa kufunga ndoa na mke wangu kipenzi, yeye hakuwa...
56 Reactions
364 Replies
30K Views
Kuna binti mmoja ninae kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa mwaka sasa. Nikasema kama itampendeza Mungu mwaka huu nimpe binti bahati ya kuwa mke wangu Leo amekuja kwangu baada ya kupata ruhusa toka...
11 Reactions
219 Replies
25K Views
Japan ndiyo nchi ambayo watu wake hawapendi ngono zaidi hapa duniani. Nusu ya wanawake wenye umri wa miaka 34 ni mabikra, na kwa upande wa wanaume wenye umri huo ambao ni mabikra ni 43% . Kwa...
2 Reactions
72 Replies
11K Views
Ndugu zanguni, Nimeamini unapomkopesha ndugu au rafiki fedha, nikujiletea uadui,au chuki labda uamua kumpa. Imenitokea mimi kuna ndugu yangu alinikopa fedha, na kuniambia atairudisha mwisho wa...
1 Reactions
58 Replies
10K Views
Ifahamike kwamba mapenzi ni muunganiko wa watu wawili katika kupendana kwa dhati na sio muungano wa sehemu za siri, hili si la kupuuza maana ndio uhalisia huo. Kuunganisha sehemu za siri...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…