chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 877
Hapa nilipo na mawazo mengi sana nimeona niletee humu jukwaani kidogo mnisaidie angalau kwa usahuri na mawazo wakuu. Kuna msichana niko naye kwenye mahusiano ni mwaka wa pili sasa, tunapendana sana na ninamalengo naye mazuri tu kwa baadaye wala sihitaji mchezea.
Issue nikwamba huyu mpenzi wangu amegundulika ana ujauzito wangu wa miezi mitatu sasa, baada ya mama yake kugundua kuwa binti yake ana ujauzito amemwambia binti yake kuwa natakiwa nikajitambulishe mapema tena haraka sana.
Tatizo nikwamba bado sijajipanga wakuu kuhusu kuoa kutokana na hali yangu ya maisha kuwa ngumu kwa sasa nikiwa bado naangaika kutafuta japo kikazi chochote cha kuniingzia kipato cha kila siku
Hivyo nimeambiwa nikajitambulishe ikiwemo na posa kabsa kabla binti hajajifungua nimekua na mawazo sana ukiangalia napambana kutafuta pesa kwaajili ya kulea mimba hadi kujifungua gharama zote
Huku bado nawaza kwenda kujitambulisha lazma nikatoe posa nipesa inahitajika hiyo ukiangalia kazi zangu bado ni zakuunga unga hapa napale siku iende hivyo nipo kwenye mawazo wakuu nimesisitiziwa niwahi kutoa posa mapema kabla binti hajajifungua