Mnaonyonyana Ndimi (French Kiss) huwa mnasikia ladha gani?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
Habarini wadau, kwa aliyepo Bagamoyo tujuane nipo Empire bar hapa.

Turudi kwenye mada yawezekana ni ushamba wangu au umri umenitupa mkono, ila naomba kujuzwa hivi mnaonyonyana ndimi huwa mnasikia ladha gani?

Nilipokuwa kijana nliwahi kujaribu mara kadhaa kunyonya ulimi baada ya kuangalia XNX ila sijawahi kabisa kupata ladha wala utamu wowote, yawezekana wadada nliokutana nao hawana "utamu" au pengine hawakulamba sukari kabla sijakutana nao kwenye mate yao zaidi ya alkaline and tasteless.

Tangu enzi hizo huwa nshaachanaga na mambo hayo.

Wadau hebu nisaidieni kuelewa huwa mnapata ladha au utamu gani mkinyonyana ndimi?

Ni hayo tu.

1643881242088.png
 
Perhaps we sio good kisser na hujakutana na good kisser mwenye lips laini. Na ndimi safi...ile kitu ni noma...inaamsha hisia hatari....

Sa unakuta mtu kukiss anatoa mimeno nje mnagongana tu...na hakuna wa kumfundisha mwenzie...
Au mwingine anatoa ulimi km nyoka
 
We hujawahi pata Toto lenye lips laini linalojua kuchumu,nilipata Toto hilo aisee muda mwengine mpk nilikuwa ng'ang'ania mdomoni mwake..🤣

Sasa wewe ndugu yangu unaenda kuchukua mshamba mwenzio huko mnapiga busu hamfumbi hata macho mnaangaliana Kama ming'ombe! Mixer mnapumuliana kwa mipumnzi kana kwamba hewa imeisha huo utamu utauonea wapi..?
 
We hujawahi pata Toto lenye lips laini linalojua kuchumu,nilipata Toto hilo aisee muda mwengine mpk nilikuwa ng'ang'ania mdomoni mwake..

Manina kwenye haya mambo watu mnafunguka haswa
 
We call it french kiss/deep kiss, hakikisha mmeswaki vizuri siyo na maviporo yenu ya wali maharage mnaanza kufyonzana ndimi, mtakutana na yale magamba ya maharage bure . I do love french kissing
Nakuunga mkono hadi uwa nahisi I need somebody to teach me how to kiss .

My first kiss from my unforgettable Shakira it was amazing the rest nakamilishaga torati ila uwa sienjoy
 
Tatizo uliangalia XNX.

Angalia BraZzers bana we, Angalia You Porn, Angalia XNXX, Angalia Pornhub...

Huko XNX ulifeli sana.

Afu hao wadada watafunishe hata chocolate wawe na taste. Unawajaza mimaji tu wataacha kutesti alkaline?
FB_IMG_16158481270910017.jpg
 
We hujawahi pata Toto lenye lips laini linalojua kuchumu,nilipata Toto hilo aisee muda mwengine mpk nilikuwa ng'ang'ania mdomoni mwake..

Sasa wewe ndugu yangu unaenda kuchukua mshamba mwenzio huko mnapiga busu hamfumbi hata macho mnaangaliana Kama ming'ombe! Mixer mnapumuliana kwa mipumnzi kana kwamba hewa imeisha huo utamu utauonea wapi..?
Plus ndimi ziwe safi weeee....
Ukijijua unaenda kukutana na baby unatafuna ht big g au pipi...ili.mkikutana ni balaa..mdomo unanukia vizuriiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom