Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi. Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala...
20 Reactions
113 Replies
7K Views
Siku hizi kama ikitokea umetembea ( umefanya mapenzi ) na Wanawake kati ya Watano hadi Saba basi usishangae ambao wamenyoa ' mavuzi ' yao ni wawili au mmoja tu na ' sometimes ' hata hakuna...
6 Reactions
72 Replies
18K Views
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume...
10 Reactions
57 Replies
5K Views
Baada ya kipind kile kuleta Ujinga wa kuniomba Kodi ya fremu kwa nguvu bila utu kipind ambacho nmetoka kuibiwa dukan kwangu, ikapelekea kuua kabisa Lile wazo langu la kumfungulia biashara yake ya...
29 Reactions
287 Replies
17K Views
Wanawake kuweni Serious Utakuta unamuomba mwanaume pesa hata kama sio mchumba wako kisa mazoea tu. Ukiombwa wewe inakuwa mengine. Siku hizi hali ngumu akuna cha mtu ambacho kinakwenda bure...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
1. Matatizo ya kisaikolojia Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni. Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku...
3 Reactions
5 Replies
956 Views
Kama una rafiki wa moyo halafu rafiki huyo unapokuwa unapoteza muda kwa mambo fulani ambayo hayana faida na yeye hakushauri wala haoni kuwa ni vibaya angali anajua unapoteza muda kwa mambo ambayo...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni binti tu wa makamo ana miaka 19 tu nilianzisha nae mahusiano. Binafsi nashindwa kumuelewa mi nilianzisha hayo mahusiano kwa sababu ya kudinyana tu aswa ukizingatia kwenye kubadilisha Radha...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Kama hukujua, basi fanya modification kwenye chumba cha ndoa yako. Vitanda viwili huongeza msisimuko wa kufanya mapenzi pale mmoja anapotembelea kitanda Cha mwingine kwenda kunyanduana. Siku za...
19 Reactions
77 Replies
6K Views
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani... Wanaume wana roho nzurii jamani.... Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na...
177 Reactions
489 Replies
48K Views
Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi ni mdhaifu sana linapokuja swala la kutaka kungonoka. Udhaifu wangu umefanya huyu bi mdashi ninaechepuka nae kunafanya kama mimi ndio sex mashine yake. Yeye kila siku anataka, na sio kutaka...
8 Reactions
42 Replies
47K Views
Katika wakati huu kumeibuka Dhana ya kufanya mazoezi maeneo ya beach, barabarani na katika Gym kwa maana ya kuweka miili fit na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.. Kiuhalisia Mazoezi Ni jambo jema...
8 Reactions
100 Replies
14K Views
Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio...
20 Reactions
210 Replies
24K Views
UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko...
27 Reactions
206 Replies
11K Views
Uzi tayari. Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi. Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume? ====== Imeelezwa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi mtu mzima na ninayejielewa na kujiheshimu natafuta mwanamke mwenye kujielewa na mapenzi ya dhati na umri usiozidi miaka 50 naishi hapa hapa Dar es salaam. Tuwasiliane kwa namba 0784355760.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Imeshapita wiki mbili sasa toka nilibongonyoe (tubailojiane) na jimama langu fulani hivi jeupe jeupe lenye tako mbinuko lile ambalo hata mtoto anaweza kukaa bila mbebeo. Yuko na miaka 45, kuanzia...
10 Reactions
102 Replies
8K Views
Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…