Idadi ya watu uliowahi kufanya nao mapenzi (body count) matters kwenye uhusiano mpya?

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
Hivi namba ya watu ambao umewahi lala nao either kama one night stand,casual hook-ups, friend with benefits au mahusiano ya kawaida inaweza husika kwenye mahusiano mapya? Mfano: mpenzi wako mpya akiwa na body count kubwa unamuacha?

Wanaume kwa wanawake hivi namba ya kawaida ambayo mtu anatakiwa awe nayo ni ngapi? Binafsi mwanamke awe ana body count < 5 sema tatizo hauwezi jua anaweza akadanganya.

Je, wewe una body count(watu uliowahi lala nao) wangapi?
 
Nikishaachaga mpka kuhesabu. Then ni kitu ambacho siwez muuliza mtu maana haiwez kunisaidia kwa lolote.

Sema wanawake huwa hawawezi kuficha, unakuta kila siku anasimulia habari za ex mpya.

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app

Eeh utakuta anakwambia aliwahi kuwa na ex wawili sasa anakupa story siku unashangaa huyu nae ni ex mwingine mh? Sasa si kumi na zaidi hao.
 
Back
Top Bottom