Kwa masikitiko makubwa sana na kwa maumivu machungu ninayopitia, nimeona ni bora ku give up kuendelea na mahusiano ya kimapenzi na huyu msichana.
Mahusiano yetu yalianza mwezi Januari, nilimpenda...
Katika utafiti uliofanywa na Gary Chapman katika Kitabu chake cha THE FIVE LOVE LANGUAGES cha mwaka 1995
Anaeleza kuwa..
Katika maisha ya mahusiano, kila binadamu ana lugha yake ya mawasiliano...
Dunia imebeba mengi sana na Ukistaajabu ya Musa Hujayaona ya Firauni.
Hii imetokea Kijijini kwetu huku. Baada ya Utambulisho na maridhiano ya pande mbili. Mahari ikatolewa, Mil 2.5 hivi, na...
Am almost 35 and my daughter is 15 (kidato cha pili) Nahisi kama vile sina tena uwezo wa kum control huyu mtoto.
I think She now takes me as her brother (Nimelihisi hili kwa kuangalia...
Habarini wanajamvi,
Leo naomba nishare sababu iliyonifanya niachane na baby mama wangu,tuliyedumu nae miaka minne,niliona nikiwa na miaka 23, tulifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike, japo...
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia...
Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni:
SIFA ZANGU:
Urefu: Ni mrefu wa wastani
Umbo: sio mnene wala sio mwembamba...
Habari za muda huu wana jf
Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama...
Aise naomba msaada nilikuwa na relationship na mwalimu mmoja sas kabla hatujafikia hatua ya kuoa! Pakatokea kutoelewa tukatengana! Imenichukua mda katika kusali! Sas jiran hapa kuna bint ameishia...
Ninaishi Masasi mkoa wa Mtwara!
Kuna wimbi la watu kutoka mikoa mbalimbali yaani ile iliyo nje ya ukanda wa pwani kuja Mtwara kibiashara, au kwa majukumu ya kazi za serikali!
Hawa watu...
Kwema jamani?
Kuna mwanamke nilikua na mahusiano nae miaka 7 iliyopita. Mimi kwa wakati huo sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake, so it happened akaniambukiza gono,nilivyomuambia,aliniogesha na...
Nahisi kabisa hapa hakuna balance kwenye suala hili,
Wanaume wanazungumziwa kwa sababu hawezi kufanya kitu mpka isimame ila mwanamke anaweza kufanya mapenzi anytime ili mradi mwanaume...
Wakuu wikiendi iliyopita nilienda bar moja hapa mjini.
Katika kuangaza macho yangu jicho likatua kwa mrembo mmoja hivi sio mkali kivile ila alinivuti.
nikaamua kumkaribisha ili aje tujumuike...
Natafuta mchumba,mwanamke wa miaka 35 - 40 awe mrefu kuanzia futi 5,asiwe anajichubua,Mimi ni mweusi mrefu miaka 45.Awe tayari kupima ukimwi bila shuruti,awe dini yoyote.
Imekuwa ni desturi kwa watu walio wengi, hasa kwa wanaume waliozaa nje ya ndoa, kutokuwaweka katika listi watoto waliozaa nje ya ndoa.
Kama wataulizwa mbele za watu; wana watoto wangapi? Watajibu...
Wakubwa habari ya mihangaiko..
Kijana wenu nimekuja nahitaji msaada wa kimawazo hapa kidogo naamini wapo wazee wenye hekima nitapata msaada.
Awali ya yote mimi ni kijana wa middle 90's nina...
Naamini wote wazima wa Afya. Miezi miwili iliyopita nilipigiwa simu kwamba mdogo wangu analia sana yupo stress hata kula hawezi kisa Mwanamke kamuacha. Nikaona ni heri niende kuonana naye...