Natafuta mchumba

Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,886
1,036
Natafuta mchumba,mwanamke wa miaka 35 - 40 awe mrefu kuanzia futi 5,asiwe anajichubua,Mimi ni mweusi mrefu miaka 45.Awe tayari kupima ukimwi bila shuruti,awe dini yoyote.
 
Utapata mkuu kila la heri, wahitaji wapo wengi .

Hapa watakuja hadi utawakimbia, Mungu akujalie upate anayetanguliza mbele ndoa na sio fedha na tamaa za mwili.
 
Mkuu kwanini dini yoyote? Ndoa mtaifungaje na mtaishije mkiwa imani tofauti??
 
Natafuta mstoo

Miaka 32

Dini Chritian

Jobless
Natafuta jiko

Umri 30

Dini mpagani

Awe na mchele gunia 10 ,mafuta tila 50,kuku au mbuzi sio chini ya mia, gesi mitungi 30,

Kazi yangu ni kula tuu

Pia sina nguvu za kiume mwenye vigezo anitafutee
 
Una miaka 45?
Una watoto wangapi?
Mama yao yuko wapi?

Afu mwanaume umri wako inabidi asiwe ana lia lia njaa, vitu vya msingi kama nyumba na stable financially inabidi visikupe shida, tofauti na hapo mmmh.

Embu kuwa wazi wadada tuvutiwe na ndoa hii tufufuke ba Bwana yesu.🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom