Nsam
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 212
- 290
Aise naomba msaada nilikuwa na relationship na mwalimu mmoja sas kabla hatujafikia hatua ya kuoa! Pakatokea kutoelewa tukatengana! Imenichukua mda katika kusali! Sas jiran hapa kuna bint ameishia darasa la saba ni mfanya wa kazi wa mtu! House gal! Ila ni mzur kimaumbile na tabia kwa kadri
Nilivyomfuatilia! Nimemuona anafaa kuwa mke
Ila kwa upande wangu nipo katikati kutokana na level ya elimu yake! Ni kidgo ni ndogo ukilinganisha na yangu( degree$ )
Je kuna uhusian wowote kati ya elimu na mke! Isitoshe bint ni msikivu sana ! Kila mtu ananiambia hvi hujamuona huyo bint umchukue! Naomben uhusiano wa hvo vitu!