Ninaishi Masasi mkoa wa Mtwara!
Kuna wimbi la watu kutoka mikoa mbalimbali yaani ile iliyo nje ya ukanda wa pwani kuja Mtwara kibiashara, au kwa majukumu ya kazi za serikali!
Hawa watu wananishangaza kwelikweli, kwani hawaishi kutusagia kunguni watu wa Masasi eti tumewekeza kwenye ngono kwa kiwango Cha juu!
Yawezekana Ni kweli!
Mapenzi Ni furaha yetu, na si Masasi tu bali ukanda wote wa pwani yaani mikoa yote ya Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga na huko Zenji!
Hapa niwakumbushe Jambo lililo muhimu kuwa mapenzi huleta ustawi wa jamii!
Hekima, ustaarabu, amani, upendo na umoja vyote huimarika ktk jamii ya watu wenye kuthamini mapenzi!
Ukatili wa jinsia, watoto, vikongwe na albino havijatamalaki ukanda wa pwani, si kwa bahati mbaya!
Enyi watu mlio nje na ukanda wetu wa pwani, acheni kutudharau sisi tuliyoamua kuyafanya mapenzi kuwa burudani ya maisha yetu!
Mapenzi Ni sabuni ya roho!
Njoni mujifunze mapenzi muweze kuishi maisha mapya ya kiustarabu, na kiungwana!
Mapenzi yatawasafishia na kuwaondolea roho za ukatili na ubinafsi!