Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nishawahi kuandika humu kuhusu mahusiano sugu humu mkanipuuza Saizi mnaishi humo mnashindwa ku move on Mmegeuka watumwa wa wapenzi ambao hamuoni future kwao Kila siku ni vilio vya hasara ya...
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Ni rafiki yangu tumejuana miaka kadhaa iliyopita, anaishi na mwanamke ila hawajafunga ndoa, though ana watoto naye, wawili... Kimbembe kinakuja, pamoja na kuwa na huyo mke ambaye hajafunga naye...
29 Reactions
140 Replies
9K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 naishi Tabata Jijini Dar es salaam, nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani...
12 Reactions
917 Replies
81K Views
(1) Kuomba pesa; Hiki ndiyo kipimo cha kwanza ambacho mabinti wengi wanakitumia, wanaamini mwanaume akikupa pesa basi anakupenda. Utasikia “Muombe pesa ujue kama yuko siriasi na wewe au la?”...
27 Reactions
118 Replies
7K Views
Rafiki yangu Leo nimemsikia akiniambia sauti anazotoa yule mke wangu chumbani zinaweza kuniua. Fikiria nyumba moja mmegawana vyumba wewe na aliyekuwa mkeo baada ya kuachana. Wamepatana kila mtu...
34 Reactions
197 Replies
20K Views
Hili ni swala la kukumbushana tu, sikuhizi watu wanajivika vitu vya thamani si haba na wala si dhambi,lakini kumbuka ndani yako ndio inajenga nje yako! Nje yako unajisitiri na nguo za gharama...
3 Reactions
6 Replies
767 Views
Habari zenu wanandugu watanzania wenzangu. Niende moja kwa moja kwenye mada kama inavosomeka hapo juu.Ni siku chache toka nifike hapa Dar nikitoka zangu mkoani pia nimepata kutembelea sehem...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Watu wanaikosa sana hii huduma,yaani ile huduma ya kusingwa mpaka mwili unakuwa mwepesiiiii.Unakuta umekaa kwenye kiti ofisini siku nzima,mgongo umeganda na kuuma hata ujinyooshe bado mwili mzito...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye...
19 Reactions
240 Replies
26K Views
Kwasasa usitegemee mwanamke anaweza kukuonea huruma wewe mume wake, haijalishi unapambana vipi kwa ajili ya familia yako, anytime anaweza kukufanyia tukio la hatari. Kwasasa hawa viumbe tuliozoea...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Unapokuwa binadamu mwenye uwezo mzuri wa akili lazima ujue kuchuja vitu na lakuongea si kila jambo nilakutiririka tu!. Kuhusiana na mtu ni sehemu ya utimilifu wa hisia pamoja na akili. Baadhi ya...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai. Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani za weekend natumai nyote ni wazima na buheri wa afya Ndugu zangu aisee nimekamatika najuta kukatongoza katoto ka kinyamwezi. Yapata mwaka mmoja tangu niwe kwenye mahusiano na huyu mtoto...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanawake wamekuwa wanatulaumu sana kwamba huwa wanatuvumilia sana kwenye mahusiano tunapokuwa hatuna kitu yaani apeche alolo,juu ya mawe!,lakini tukipate pesa tunaenda kwa wanawake pisi kali na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nahisi uvumilivu umemshinda Katokea sehemu wanaongea kifaransa kwenye story za hapa na pale kwao kuna WANAUME WANAOJIUZA yaani kama ilivyo kwa wadada nimeshangaa sana Kwamba inawezekanaje
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye. 1. Ana akili 2. Ana rangi nzuri 3. Ana sura nzuri 4. Ana body nzuri 5. Anajiheshimu Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi...
0 Reactions
5 Replies
923 Views
Salamu zenu nyote. Niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kuperuzi mitandao nimekutana na mtu mmoja mwenye mtoto alie na cancer ya damu. Lakini pia mke wake alishafariki miaka ya nyuma so ni...
2 Reactions
6 Replies
946 Views
70% ya wamarekani wameshafanya "casual sex" na mtu fulani japo mara moja na hata takwimu zinaonyesa na na za UK, naamini pia hata kwa hapa kwetu. Kubali au kataa, kwa sasa tunaishi ulimwengu...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Hivo kwa nini mtu akitoa post yake mnamponda nakutoa maneno mabaya raja yenu nini? A. Hatujawaomba uoe wanawake wasiowapenda wasiowadhamini au wanaume wasiowadhamini maana ndio stress zipo hapo...
1 Reactions
6 Replies
547 Views
Habari wanajf Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…