Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wanawake wamekuwa wanatulaumu sana kwamba huwa wanatuvumilia sana kwenye mahusiano tunapokuwa hatuna kitu yaani apeche alolo,juu ya mawe!,lakini tukipate pesa tunaenda kwa wanawake pisi kali na kuwatelekeza wao wanawake wenye sura za kawaida,ukweli ni kwamba kila mwanaume huwa ana ndoto za kudate na pisi kali sema pesa ndio ukuta huwa unatutenganisha na watoto wazuri!,na pindi mwanaume unapozifumania ndio unakwenda kutimiza ndoto zako!
Enyi wanawake hata kama ni wewe utakubali kuendelea kulalia mkeka wakati una uwezo wa kununua godoro?
Kwahiyo msitulaumu kutoka na watoto wazuri tunatimiza ndoto zetu!
Huwa tunakuwa na nyie wenye sura ya kawaida kwenye mahusiano kwa mambo mawili tu endapo tunapokuwa hoi kiuchumi ama kuwekwa ndani uwe mlinzi wa nyumba na familia [emoji851]