kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,411
- 18,733
70% ya wamarekani wameshafanya "casual sex" na mtu fulani japo mara moja na hata takwimu zinaonyesa na na za UK, naamini pia hata kwa hapa kwetu.
Kubali au kataa, kwa sasa tunaishi ulimwengu ambapo vijana na (hata sio vijana sana) watu wazima wameshashiriki na kufurahia "casual sex''.
Kuna maandiko mengi yanayozungumzia ubaya wa desturi hiyo inayojengeka ya "hook up culture’ ambapo tunafanya rahisi zaidi kupata mwenza wa kushiriki nae tendo la ngono kama ilivyo rahisi kupata takeaway mtaani.
Moja kati ya maandiko inaonyesha 80% ya wanaume wanaonyesha furaha asubuhi ya "a one-night stand" na 54% pekee ya wanawake wanafurahia.
Lakini baadhi ya wanawake wanaona "casual sex" ni kuwavunjia heshima na kuwashushia hadhi, wengine wanaona ni kitendo cha kuwa empowering na ukombozi kwao!!
Hata hivyo wanaweza wasifikie orgasm (women are 50 per cent less likely than men to orgasm during casual sex), Hata hivyo kuna kukua kwa idadi ya wanawake waanaona ni ushindi kuliko aibu baada ya tukio.
Wanawake waleo wana mahitaji tofauti sana, Wengine career first, love later – and casual sex and relationships in between.