Kuanzia wasanii wetu wa kiume wa muziki wa kizazi kipya(Bongo Flava), waigizaji wa kiume kutoka Hollywood n.k, wote kwenye videos zao kwa kiasi kikubwa wanakuwa wananyenyekea kwa wanawake...
Habari zenu watanzania wenzangu natumaini ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kifamilia na mambo mengine ya kimaisha.
Lengo hasa la kuleta uzi huu ni kuweza kufahamu kipi hasa...
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi Dar ni mjasiriamali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi...
Habari wanajukwaa nimemtolea mdada uvivu jana nikamchana mazima kama inavyojieleza hapo juu, nikuita Kwa huu mwaliko nakutaka uwe mpenzi wangu karibu Kwa maswali au ujumbe wowote unajieleza kwa...
Habari zenu watanzania wenzangu
Kwanza rejea uzi hapo chini
Nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito lakini hatohusika kwenye malezi ya mtoto.
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2026361/...
Unakuta Jamaa kaoa mwanamke ambaye ana urafiki wa karibu na mchepuko wake. Lakini pia jamaa huyohuyo ana mdogo wake wa kike ambaye ni shosti wa mke wake na pia ni rafiki mkubwa wa mchepuko wake...
Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya.
Ukiangalia sababu kubwa ya...
Lengo la kuchapisha habari hii ni kutahadharishana na kuachana na Michepuko ambayo huleta sintofahamu katika ndoa zetu. Haya mambo sio poa kabisa na tusi yaendekeze hata kidogo.
Kabla ya kuanza...
Habari ndugu jamaa na marafiki.
Jambo Kubwa nawapa kisa changu alafu mnisaidie kujibu swali langu lililosimama kama kichwa cha habari hii.
Wakati nimeanza chuo, chuo flani chenye jina kubwa...
Habari wapendwa?
Samahani, nataka kupata 'experience' toka kwenu wanawake wenzangu ambao huenda mmezaa hajaolewa au hujazaa ila hujaolewa. Hivi kukaa kwenu hivo bila mume mmeona kuna madhara...
Kila ukikutana na bar au gest wadada wejaaa aisee imekuwa kama dar yan hapa msamvu itigi sijui samaki samaki naengne machimbo kibao ila mbna hamna pisi Kali za vyuo et wakulungwa
Anachofanya Manara kuoa kila baada ya miezi miwili naona km anafanya uzinzi kwa kigezo cha kufuata misingi ya ndoa.
Upande wa Ukristo asingeweza kufanya huu upuuzi, mwanamke ambaye amemtambulisha...
Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni...
Yaani kuna wanawake ukimwangalia hivi unamuona kama ni smart, ana maadili mzuri, hata shule ipo kidogo
Mnapoanza mahusiano, unashangazwa kidogo na tabia zake. Kwa mfano ukimuuliza siku zake...
Siku kadhaa hapo nyuma nilikuwa ni mwalikwa katika kongamano fulani lililohusisha wizara na taasisi kadhaa za serikali katika hoteli moja hapa mjini.
Muda wa breakfast, nikiwa nimeshakaa tayari...
Kijana kuwa na Wachumba wengi utapoteza pesa [emoji18]Mmoja utampa kidogo,Ila kidogo kwà wengi ni kingi,Magonjwa na kuchelewa Malengo yako[emoji18],Utahisi kuwafaidi Ila mwisho ni Majuto na...
Kama title inavyojieleza
Naombeni ufafanuzi juu ya hili jamanii
Kuna binti aged 18 single mother nilikutana nae kipindi cha sensa nikaomba namba tukaanza mawasiliano
Baada ya muda nikaomba...
Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana.
Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba...