Kuna watu wana uzinzi wa ajabu sana

Kuna watu wana uzinzi wa ajabu sana

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,880
Unakuta Jamaa kaoa mwanamke ambaye ana urafiki wa karibu na mchepuko wake. Lakini pia jamaa huyohuyo ana mdogo wake wa kike ambaye ni shosti wa mke wake na pia ni rafiki mkubwa wa mchepuko wake.

Yani mdogo wake wa kike yuko close na mke wake lakini pia ni best friend wa mchepuko wake. Sasa cha ajabu mdogo wake wa kike na mchepuko wake wamegombana kisa wanagombania bwana.

Yani kwa hiyo circle kama kuna UTI wote wanakula dozi kwa pamoja
 
Yani mdogo wake wa kike yuko close na mke wake lakini pia ni best friend wa mchepuko wake.

Sasa cha ajabu mdogo wake wa kike na mchepuko wake wamegombana kisa wanagombania bwana.

Yani kwa hiyo circle kama kuna UTI wote wanakula dozi kwa pamoja
Aliyeelewa adadavue pls
 
Mbona mambo ya kawaida sana hayo. Au ndio unaanza mahusiano?
 
Kuna mzungu aliwah kusema watu wa afrika karibia wote wana feacal materials midomoni mwao

Hapo ina maana kaka mtu na mdogo wake walisha-share mate,
 
Unakuta Jamaa kaoa mwanamke ambaye ana urafiki wa karibu na mchepuko wake. Lakini pia jamaa huyohuyo ana mdogo wake wa kike ambaye ni shosti wa mke wake na pia ni rafiki mkubwa wa mchepuko wake.

Yani mdogo wake wa kike yuko close na mke wake lakini pia ni best friend wa mchepuko wake. Sasa cha ajabu mdogo wake wa kike na mchepuko wake wamegombana kisa wanagombania bwana.

Yani kwa hiyo circle kama kuna UTI wote wanakula dozi kwa pamoja

Umelala yo
 
Unamuhurumia yupi hapo ww au wao ? Kama wanajuana wameamua kuwa hivyo, fanya kazi na mambo yako
 
Back
Top Bottom