Wanawake ambao hawajaolewa: Kukaa bila mume kuna madhara yoyote?

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,221
28,664
Habari wapendwa?

Samahani, nataka kupata 'experience' toka kwenu wanawake wenzangu ambao huenda mmezaa hajaolewa au hujazaa ila hujaolewa. Hivi kukaa kwenu hivo bila mume mmeona kuna madhara yeyote?

Coz the way mapenzi yanavozingua mi binafsi naanza kuona bora niishi mwenyewe na mwanangu na maisha yaendelee.

Wenye uzoefu tafadhali.
 
Maisha ni mtindo ambao unajiamulia kuishi mwenyewe na kuwa na furaha usikilize mtu wala kumuangalia mtu ishi maisha ambayo utakuwa na furaha na amani.

Kama umeolewa na kuna mikasa ndoani basi nikwambie hakuna ndoa isiyo na mushkeri unachotakiwa jiangalie wewe kwanza wewe wa zamani na sasa hivi kuna tofauti gani ujirekebishe.

Pili kaa na mwenzio ongea kwa furaha sio kukalipiana na mahasira
 
Maisha ni mtindo ambao unajiamulia kuishi mwenyewe na kuwa na furaha usikilize mtu wala kumuangalia mtu ishi maisha ambayo utakuwa na furaha na amani
Kama umeolewa na kuna mikasa ndoani basi nikwambie hakuna ndoa isiyo na mushkeri unachotakiwa jiangalie wewe kwanza wewe wa zamani na sasa hivi kuna tofauti gani ujirekebishe
Pili kaa na mwenzio ongea kwa furaha sio kukalipiana na mahasira

Thanks mine, bt sipo kwenye ndoa ....am a single mom.b blessed 4ur advice.
 
habari wapendwa?

samahan,nataka kupata experience toka kwenu wanawake wenzangu ambao huenda mmezaa hajaolewa au hujazaa ila hujaolewa.Hivi kukaa kwenu ivo bila mume mmeona kuna madhara yeyote?

coz the way mapenz yanavozingua mi binafsi naanza kuona bora niishi mwenyewe na mwanangu na maisha yaendelee......wenye uzoefu tafadhali.
Kumbe ya wanawake... napita tu
 
Mm sio mwanamke ila naomba nikujibu hivi...,kama una uwezo wa kumhudumia mwanao haina shida cos kwa baadhi ya wanawake wamekariri kwamba mtoto bila pesa ya kutoka ktk mfuko wa mwanaume hakui lakn kama una uwezo unamlea mwanao na maisha yanaenda.

Ila kikubwa jitambue, jieshimu na Ujilinde pia itasaidia kwa namna moja au nyingne kuzidi kuilinda heshima yako ya kuwa mwanamke
 
ndo nataka nianze na maisha ya ivo....ivo nilitaka nijue ya mbeleni ndugu yangu
My dear unadhani kuna binadamu anapenda kuishi peke yake basi!! Ni hizi dhahama za dunia ndizo zinapelekea huko maana mambo tafrani.

Kuna wakati utatamani tu angekuwepo mwenzako japo umshirikishe tu kitu fulani,akuliwaze,n.k

Kila maamuzi unayoyafanya yana faida na hasara zake, so ni wewe tu kupima upande unaoona utakufaa.
 
Mm s mwanamke ila naomba nikujibu hivi...,kaama unauwezo wa kumuudumia mwanao haina shida cos kwa baadhi ya wanawake wamekalili kwamba mtoto bila pesa ya kutoka ktk mfuko wa mwanaume hakui lakn kama unauwezo unamlea mwnao na maisha yanaenda...

Ila kikubwa Jitambue..,Jieshimu na Ujilinde pia itasaidia kwa namna moja au nyingne kuzidi kuilinda heshima yako ya kuwa mwanamke
Kuna wakati pesa tu haitotosha kwa huyo mtoto, msisitizie na kukumbuka kuwa, wote baba na mama wapaswa kuwa katika maisha ya huyo mtoto.
 
Mm s mwanamke ila naomba nikujibu hivi...,kaama unauwezo wa kumuudumia mwanao haina shida cos kwa baadhi ya wanawake wamekalili kwamba mtoto bila pesa ya kutoka ktk mfuko wa mwanaume hakui lakn kama unauwezo unamlea mwnao na maisha yanaenda...

Ila kikubwa Jitambue..,Jieshimu na Ujilinde pia itasaidia kwa namna moja au nyingne kuzidi kuilinda heshima yako ya kuwa mwanamke

Asante sana
 
Back
Top Bottom