Hakuna tuzo ya ngono zaidi ya UKIMWI

Hakuna tuzo ya ngono zaidi ya UKIMWI

A man with one idea

Senior Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
125
Reaction score
269
Kijana kuwa na Wachumba wengi utapoteza pesa [emoji18]Mmoja utampa kidogo,Ila kidogo kwà wengi ni kingi,Magonjwa na kuchelewa Malengo yako[emoji18],Utahisi kuwafaidi Ila mwisho ni Majuto na Maumivu kwà pesa yako Kutumika Vibaya ,[emoji18]Chagua Mmoja mtunze naye atakupenda Sana [emoji3590]
 
Huna ndugu au wazazi wa kuwatunza mpk ukamtunze mtu baki bila maslahi yoyote?
 
Kijana kuwa na Wachumba wengi utapoteza pesa [emoji18]Mmoja utampa kidogo,Ila kidogo kwà wengi ni kingi,Magonjwa na kuchelewa Malengo yako[emoji18],Utahisi kuwafaidi Ila mwisho ni Majuto na Maumivu kwà pesa yako Kutumika Vibaya ,[emoji18]Chagua Mmoja mtunze naye atakupenda Sana [emoji3590]
Nilishawahi kupewa gonorrhea na mpenzi wangu tena nilikuwa mwaminifu sana kwake nilikuwa sina michepuko.
NB:hizi mambo hazina formula kikubwa msisitiziane tu kutumia condoms na kuheshimiana tu
 
Hayo ni matokeo tu demu wako unayemwamini ndie anakupa hayo magonjwa ya zinaa
 
Back
Top Bottom